Posts

MWANAUME AKISALITI MAHUSIANO AMA NDOA YAKE HAIMAANISHI HAMPENDI MWANAMKE

Image
MWANAUME AKISALITI MAHUSIANO AMA NDOA YAKE HAIMAANISHI HAMPENDI MWANAMKE WAKE ILA MWANAMKE AKISALITI YUPO KWENYE MAJARIBIO YA KUMUACHA MWANAUME WAKE๐Ÿ’ฏ Kwa asilimia kubwa WANAWAKE wanaongozwa na MOYO katika kuyalinda mahusiano na ndoa zao, tofauti na WANAUME wao huongozwa na mihemko๐Ÿ“ Uonapo Mwanamke ameamua kusaliti Mahusiano ama ndoa yake ujue yupo kwenye maandalio ya kuufanya moyo wake kuondoka kwa mtu wake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hilo haikwepeki kwamba:- ๐Ÿ‘‰ SIKU ZA MAHUSIANO AMA NDOA YENU ZINAHESABIKA. Migogoro mingi nje Ya usaliti wa mapenzi inaweza kuelezeka na pengine kuisha ila issue inapokuja kutamkwa USALITI ni nadra Sana kumalizika, Mara nyingi mwisho wake huwa ni mambo mawili:- ๐Ÿ‘‰ USALITI. ๐Ÿ‘‰ KUACHANA. Japo wengi huitazama jamii pamoja na vitu walivyochuma pamoja ndipo hubakia njia panda, na kinacholeta faraja katika hali hiyo ni USALITI. Kama unampenda mpe heshima yake na uitunze ahadi ya UPENDO WA DHATI ๐Ÿ’˜ JUU YAKE๐Ÿ“ Kinyume chake ni :- ๐Ÿ‘‰ ANGUKO LENU WENYEWE. #Elista_kasema_ila_s...

ANGUKO KUBWA LA WANAWAKE WENGI NI KUTAKA KUBEMBELEZWA BADALA YA KUPENDWA

Image
Ipo dhana kubwa katika MAHUSIANO NA NDOA nyingi, Mwanamke kuamini anapobembelezwa ndo anapendwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mwanaume kwa maumbile yake ni mtawala๐Ÿ“ Uonapo Mwanaume anambembeleza Mwanamke muda mwingi ujue hapo ;- ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ HAKUNA UPENDO ILA KUNA ULAGHAI. Mwanaume akimpenda Mwanamke husimama kama Mwanaume na haimaanishi atakuwa MKALI kila eneo, yapo maeneo lazima Mwanaume awe kama Mwanaume, na kuna maeneo Mwanaume anakuwa kwenye mazingira ya kujenga AMANI KWA MWANAMKE WAKE๐Ÿ’ฏ Wanawake kutaka kubembelezwa ni anguko lao kwa vipi?;- ๐Ÿ‘‰๐Ÿผ MWANAMKE UNAPOTAKA MWANAUME AKUBEMBELEZE MUDA WOTE NI SAA NGAPI UTAJUA WAJIBU WAKO KAMA MWANAMKE๐Ÿคท๐Ÿป‍♂️ Ndo maana wanaume waleeeee wapenda mteremko wamejikita katika kujifanya ni wanyenyekevu na kuwakamata wanawake wapendao kubembelezwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mwanaume anaweza kuwa na UPENDO WA DHATI JUU YA MWANAMKE WAKE ila hana usanii wa kubembeleza ila anaweza kubembeleza panapo bembelezeka๐Ÿ“ Kwa wanawake wengi wa leo kama Mwanaume hajambembeleza etiii anaonekana hana UPENDO ♥️ Hakuna ha...

MWANAUME MWENYE UPENDO MWINGI HAWEZI KUMPATA MWANAMKE MWENYE MAHITAJI YA UPENDO

Image
HUO. Asilimia kubwa WANAWAKE wengi wanamhitaji Mwanaume mwenye FARAJA YA MAPENZI NA SIO UPENDO Soko kubwa la MAPENZI limerawaliwa na wanaume wanaojikita katika kumhadaaa Mwanamke kwa kumpa FARAJA Kwa sasa Wanawake wengi wamejikita katika utafutaji wa PESA ili kuwadhibiti wanaume na sio kama wanatafuta kwa ajili ya maisha yao na familia zao, Mwanaume wa leo anamtaka Mwanamke kwa kitu kinachoonekana, una kazi nzuri utaolewa fasta, una biashara utachumbiwa fasta na ujinga wa Mwanamke ni;- KUAMINI ANAPENDWA HUKU AKISAHAU ANA KITU KINACHOMUUZA MWENYEWE Wanaume wengi wa sasa ni wavivu wa kufikiri na hilo limedhoofisha nguvu kazi, Matamanio ya ki maisha mazuri yamewala vijana wengi, na kuwafanya wajikite katika kuangalia wanawake wenye kitu ili wao wasitesekee Mwanamke anataka kumiliki kitu ili Mwanaume aje mwenyewe, Na wanapoyaanza maisha ile NATURE YA KI MAUMBILE inachukuwa nafasi yake na mara moja kila jinsia inahitaji haki yake, Mwanamke kupewa, Mwanaume kumiliki, ndipo MIGOGORO HUZALIW...

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

Image
Habari zenu? nadhani mtakuwa mko poa sana kama nilivyo mie. Leo kuna jambo napenda kuwashirikisha ambalo wengi tunakumbana nalo. Ulishawahi kuwa na hamu ya kufanya mapenzi lakini mwenza wako yupo kwenye siku zake za hedhi??Au kwa mwanamke ulishawaki kusikia hamu ya kufanya mapenzi wakati upo kwenye siku zako za hedhi?? Basi leo nitawaambia nini cha kufanya wewe na mwenza wako.  Mara nyingi wanawake tunashikwa na hamu sana ya kufanya mapenzi siku za mwisho za kumaliza hedhi na mara tu baada ya kumaliza hedhi ila bado sijajua ni kwanini hali hii hutokea japo si kwa wote.Na katika kipindi hicho pia joto letu la mwili linakuwa kubwa sana kiasi cha kuongeza msisimko kwa mwanaume pindi mnapogusana.  Nini cha kufanya? Kama ulikuwa hujui zipo njia nyingi sana za kuridhishana nitazitaja kama ifuatavyo KUMRIDHISHA MWANAMKE( Hedhi huwa inatoka kidogo): Hapa naomba nichambue kidogo Taratibu sogeza ulimi wako kwenye midomo yake, mpe mate au denda kama wasemavyo wengine huku mikono yako iki...

ZIJUE SABABU HIZI 10 ZINAZO SABABISHA MAPENZI KUPUNGUA, SOMA HAPA

Image
  9 Habari zenu wadau wa blog hii,naamini umzima na unafurahia darasa hili la watu wazima,Hebu leo tuangazie mambo 10 yanayo sababisha mapenzi kupungua Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati. Lakini ukiumizwa kwenye mapenzi au kutojaliwa kama wewe unavyojali basi hata dunia iwe na raha gani kwako utaiona chungu na hata raha ya maisha hutakuwa nayo hata kama una hela kiasi gani na hata kama una cheo kikubwa kama mfalme au hata rais. Wengine hufikia hatu ya kuteseka tu bila kuondoka kwenye mahusiano kwa kuogopa kuumizwa tena huko waendapo na wengine huondoka baadae sana wakiwa tayari wameshachelewa. Kuna Sababu Nyingi Sana zinazoweza kusababisha mapenzi kupungua kwenye mahusiano yenu na wakati mwingine hata kusababisha kuachana. Mojawapo kati ya sababu hizo ni pamoja...

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

Image
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au  2. Haoni aibu kugusa sehemu yako ya mwili. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomosa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe 3. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli 4. Wivu. Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi. 5 anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele kukupongeza 6. Eye contact anapenda kukuangalia ma...

NJIA YA KUMPATA MWANAMKE MZURI UMPENDAE.(Kwa watu wazima tuu)

Image
  Sanaa ya Kutongoza(Art of Seduction) ni sanaa yenye mambo mengi,lakini mara nyingi ni sanaa ambayo inaconcentrate kwenye attention ambayo wanaume wengi wanapenda na wanataka kuipata kutoka kwa wanawake. Leo nikaona si vibaya kama nikishare tips muhimu ambazo zitawasaidia kumpata mwanamke yeyote yule unaetaka kuwa nae, 1. JITAMBULISHE VIZURI KISTAARABU (INTRODUCE YOURSELF PROPERLY)Kama ndio umekutana nae kwa mara ya kwanza,hakujui na wewe humjui,ni vizuri ukajitambulisha vizuri kwa ustaarabu(usela,mapozi na uhuni weka pembeni),kama alikuwa anatembea unataka kumsimamisha,tumia lugha nzuri kumsimamisha,na usije ukasimama ukadhani atakufuata,changamka mfuate wewe,mkiwa mnatembea wote,jitambulishe vizuri,epuka maneno yatakayomkera,usimuulize maswali yatakayochokonoa maisha yake binafsi kwa kuwa bado hamjazoeana sana(Dont ask her personal questions) 2. ONGEZA MVUTO WAKO WA KIMWILI (UPGRADE YOUR PHYSICAL ATTRACTION)Wanawake wengi wanapenda wanaume wenye mvuto,wanapenda wanaume wenye mii...