Posts

Showing posts from February, 2021

Kiuhalisia asilimia kubwa ya wanawake wa sasa hawahitaji kupendwa ila wanachohitaji ni kuhudumiwa

Image
...na ni wachache sana wanaofahamu kupendwa ndiyo mapenzi na kuhudumiwa ni jambo lingine tofauti kabisa ingawa lipo kwenye sehemu ya wajibu wa Mwanaume... Tatizo kubwa lililopo kwa hao wanawake wengi ni kuchanganya vitu viwili ambavyo ni tofauti na kuvifanya kuwa ni kitu kimoja yaani hawatofautishi kati ya "WAJIBU wa Mwanaume" na "UPENDO wa Mwanaume"  Na ndio maana ni rahisi sana kumsikia Mwanamke leo hii akisema...ikiwa kama Mwanaume hamuhudumii basi huyo mwanaume hampendi, na akihudumiwa kwa fujo ndiyo anajua anapendwa... Vile vile... Wanaume wengi wa sasa wao hawapendi kupendwa ndiyo maana wakishajua tu kwamba wanapendwa huwa wanafanya wanavyojisikia...na wale wachache wanaojua thamani ya Upendo ni kubwa kuliko kuwajibika kwao kwa Mwanamke, wao husimamia kwenye Pendo zaidi kuliko huduma... Shida ni kwamba... Wale wanaume wachache wanaotafuta Upendo kutoka kwa mwanamke wanakutana na wanawake wengi wanaotafuta kuhudumiwa na mwanaume... Na wale wanawake wach...

MAMBO 10 YAKUSHANGAZA KUHUSU WATU WANAOTUMIA MKONO WA KUSHOTOWatu maarufu

Image
1.Mtu maarufu zaidi Duniani Barack Obama  na Bill Clinton raisi wa zamani wa Marekani 2. Tajiri wa Dunia Bill Gates 3. Mwanamke mwenye mafanikio zaidi duniani Oprah Wilfrey 4. Mfalme wa hiphop duniani  Eminem 5. Msanii mwenye wafuasi wa kike wengi zaidi duniani Justin Beiber hutumia Kushoto Pia 6.Rafael Nadal Mkali wa Tennis hutumia mkono wa kushoto 7. Wanasoka Lionel Messi, Maradona, Ryan Giggs robin van Persie, ribery na wengine wengi. 8. Muigizaji Maarufu zaidi wa Kike Hollywood Angelina Jolie 9. Lady gaga anatumia mkono wa kushoto 10. Mabondia Mike Tyson, Manny Pacquiao, na Oscar De La Hoya wanatumia mkono wa Kushoto Maajabu Yao 1.Kucha zao za kushoto hukua kwa haraka zaidi ya zile za kulia 2.Wana uwezo wa kufanya kazi za kibunifu zaidi kiliko wenye mkono wa kulia 3.Huchora maumbo yanayogeukia upande wa kulia 4. Hutumia zaidi upande wa kulia wa ubongo, na wengi wao hupenda pombe kwani pombe huchukua muda mrefu zaidi kuathiri upande wa Kulia wa Kichwa Kuliko Kushoto...

Siri za mwanamke ambazo wanaume wengi hawajui👉🏼👉🏼

Image
1. Mwanamke anapokuuliza, Hivi nakuwa mnene eeh?. Ujue anakuambia hapendi kuwa mnene na anatamani apungue. Na hatapenda umwambie hasi kuhusu unene, kwasbabu atajisikia vibaya😃 2. Siyo Kila Mara ukimuuliza ,upo ok? Na anajibu  "nipo ok" Basi yupo ok, muda mwingine anakuwa hayupo ok, ila anataka tu amani iendelee Kati yenu yaishe, so uwe makini kujua yupo ok kweli au la. 3. Wanawake hawana utani Kati yao na wanaume. Kila utani kutoka kwa mwanaume huchukulia kweli hatakama anajua unamtania. Jaribu siku mwambie mbaya, hatakama mzuri kiasi gani, ataamini maneno yako na kujiskia vibaya😃 4. Mwanamke anapoolewa , huwa hawazi mambo ya kutoa pesa ya kulisha familia anajua mume yupo, kumbe mambo yanabadilikaga, utakuta yeye ananza kutoa, na kwasbabu hakujianda inamtesa Sana, kwasababu mume akiumwa muda mrefu Bila Shaka mke anaingia kazi kazini 5. Mwanamke anachukua muda mrefu kwnye make up, kwasbabu siyo kazi rahisi kutengeneza lash(vinywele juu ya jicho) ili Kila pande zinfan...

TUKUMBUSHANE KIDOGO KUHUSU UAMINIFU!

Image
Nguzo kubwa iliyoshikiria pendo baina ya mahusiano ni UAMINIFU "trust". Maranyingi nguzo hii inapoyumba mahusiano yapo hatarini, hata penzi huelekea kufa. Wakati mwingine uaminifu ni kama kioo, huwezi kukirudisha tena pindi kinapovunjika na unaweza kujiumiza mwenyewe kwa kujitahidi kuunga vipande vya kioo vilivyovunjika! "Trust is just like a mirror, can't be fixed once it's broken, you'll end up hurting yourself" Elewa kuwa samahani yaweza kurudisha penzi lakini kamwe haina uwezo wa kurudisha uaminifu uliopotea. Once is gone is gone! LINDA uaminifu ambao mtu anakuonyesha, tafadhali usifanye hiyana pale unapoaminiwa, yakupasa urejeshe thamani ya uaminifu unaopewa. Mahusiano yako yatakuwa bora siku zote, penzi lako litanawiri, furaha na tabasamu litarejea usoni mwako, kazi yako itapendwa na hata watu wa karibu watajivunia uwepo wako.

Tabia sugu za wanaume wa kitanzania

Image
:  1. Ukali 2. Ulevi 3.Kuchelewa kurudi nyumbani 4. Kupenda marafiki kuliko familia 5. Umalaya 6. Kuficha mambo yao ya maendeleo 7. Kupenda hawara zao kuliko mke 8. Ubabe 9. Kusafiri bila kuaga kwa wake zao zaidi ya kuaga kwa mahawara zao 11. Uchoyo 12. Bajeti kali nyumbani kwenye baa mmhh!? 13. Kusaidia watu baki kuliko ndugu zao 14.Kosa dogo ndani ya nyumba kelele nyingi 15. Kunuka miguu 16. Hupenda kutoa ofa sana kwenye baa nk. akiwa na dem (kutaka sifa ) Kweli au sikweli?

Message kwa Dada wenye Tabia hizi 👇👇👇.

Image
Wewe ni msichana mzuri, unapenda kwenda na wakati. Umeshaanza kutumia vilevi. Tena vile laini ambavyo ukinywa leo unaweza kulewa kesho.   Una mahusiano na John. Lakini unampenda sana Simon. Japo mvulana aliyekutoa bikira ni Side lakini toka muachane humuhitaji tena kwakua unamuona mshamba na unaona kabisa kua ulikosea njia kuwa nae. Sponsor Molito ni baba unaye muheshimu sana. Kwakua uki date nae tu basi unarudi na pesa kibao John hana pesa nyingi, ila bishoo. Ana rasta kichwan na kifua kipana. Anashinda gym kwa sababu yako ili u enjoy ukiwa nae.  Simon ndio mvulana anaye julikana na rafiki zako wengi kwa kua ndio mvulana ambaye unashinda nae muda mrefu. Hivyo umemuaminisha kua unampenda yeye peke yake. Kisa ni handsome Simon ndio mvulana ambaye unaweza hata kumpost kwenye mitandao lakini Caption zako za kawaida sana zisizoonyesha dalili zozote za mahusiano.  Upo na marafiki zako wapatao wanne ambao wote life style yenu ndio hiyo.yaani hata chai mnapika inato...

MWANAUME UKIISHI NA MWANAMKE HAKIKISHA UNAFANYA YAFUATAYO

Image
Mwanamke kila siku anatongozwa hata kama umemuoa. Hivyo ukiishi na mwanamke hakikisha kuwa (1) Unampenda. (2) Unamheshimu. (3) Unamtunza. (4) Unamletea zawadi hata kama ni ya bei ndogo.  Ukiishi na mwanamke kuwa mwenye busara na kumheshimu. Usimkatishe tamaa mshirikishe kwenye mawazo yako na umfanye mwenye thamani ili awaone wanao mtongoza wa kawaida.  Huwezi kumlinda Mwanamke maana yeye hujinda mwenyewe katika maisha yake. Hakuna anayeweza kumlinda Mwanamke kwa sababu hata ulipomuoa ulimkuta na mtu na alikuwa anampenda ila alikuwa hana malengo ya ndoa.

MWANAUME MJUE MWANAMKE UPATE KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA ZAKE

Image
  Awali ya yote Ifahamike kwamba MUUNGANIKO WA MWANAMKE NA MWANAUME NI MAPENZI Kwa sababu UPENDO huinuliwa na SHAUKU na kwa vyovyote vile kinachounganisha hawa wawili ni MAPENZI kila upande kuhitaji upande wa pili, Ndo maana UPENDO unabakia kuwa zao la MAPENZI na ndo maana ya MIGOGORO MINGI YA MAHUSIANO PAMOJA NA NDOA NI UPANDE MMOJA KUSHINDWA KUKABILIANA NA MIHEMKO YA KI MWILI YA MWENZA HUSIKA. Nirejee Kwenye Mada yangu:- MWANAUME KUMJUA MWANAMKE KATIKA MABADILIKO YA TABIA ZAKE. Mwanamke ni jinsia, Hivyo kama kuna tofauti ya Mwanamke ni ndogo sana ila kwa asilimia kubwa MWANAMKE ANABAKIA KUWA YULE YULE Mungu amemjaalia Mwanamke kuwa na HITAJI KUU MOJA KWA MWANAUME nalo ni kutaka UPENDO Ndani ya hitaji hilo la Mwanamke kwa Mwanaume Kuna mlolongo mwingi wa MAHITAJI ikiwemo TIBA YA MWILI pamoja na MATUNZO Ndo maana nataka kusema:- UZURI WA MWANAMKE NI MUONEKANO WAKE. UTAMU WA MWANAMKE NI AMANI YAKE. Ukiweza kumtunza Mwanamke anakuwa mzuri na atakuwa mwenye muonekano mzuri Sana kul...

ALIYE ONDOKA KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA YAKO BAADA YA MIGOGORO HAIMAANISHI HAKUPENDI ILA ANAYEDUMU KWENYE MIGOGORO HUYO NDIYE HAKUPENDI

Image
Kwanza fahamu kwamba :- UPENDO WA KWELI HUVUMILIA MABADILIKO. Huwezi kuwa Kwenye uhusiano ama ndoa ambayo kila ulipojaribu kumsahihisha mwenza wako ndipo hali ilipo kuwa mbaya zaidi, kwamba badala ya kuamini katika MABADILIKO lakini mwenzio ndo kwanza Kosa lile lile ambalo liliwaingiza Kwenye MGOGORO ndilo analolirudia kila Mara, Mara nyingi chanzo cha vita za MAHUSIANO AMA NDOA ni Makosa yasiyosahihika, Uvumilivu ambao unatajwa Kwenye MAPENZI ni mtu kujua Kosa lake na kujutia, Ila kama bado anakuwa kwenye kukuingiza katika MAUMIVU kwa Kosa ambalo ulimsamehe Mara nyingi MOYO HUWA HAUWEZI KUVUMILIA ikiwa Mtu huyo analo PENDO LA DHATI KWAKO. Kwanini nikasema mwenye UPENDO WA DHATI ni yule atashindwa kuhimili MIGOGORO na kuondoka ndiye mwenye UPENDO WA KWELI :- KUBAKIA KWENYE MAUMIVU YA MAPENZI NI NGUMU KAMA UNAPENDA KWELI ILA NI RAHISI KUBAKIA IKIWA HUNA UPENDO WA DHATI Hivyo usione Mtu ana kuvumilia huku mkiwa Kwenye MIGOGORO isokwisha ukadhani analo pendo la kweli kwako, Muda mwin...

MWANAMKE NAKUITA HAPA USOME UPATE KUJUA NI MWANAUME YUPI ANAJUA THAMANI YAKO

Image
Kwanza fahamu kwamba;- HUWEZI KUPEWA UPENDO WA KWELI KAMA WEWE HUJAJIWEKA UPANDE WA MTU HUYO Mwanaume ni jinsia ila kupata wa kukupenda anatakiwa awe Mwanaume ajuaye NAFASI YAKO KWAKE Maana katika kutafuta THAMANI yako kwa Mwanaume lazima uwe na mtu ambaye kila akijaribu kukuwekea vikwazo anajihisi ni mkosaji. Mwanaume kama bin adam anaweza kujiona Yupo sahihi katika kosa ambalo amekufanyia ukajisikia vibaya na wakati Mwingine ukaona siku yako kuwa mbaya, lakini kwa ufahamu wake akajua unyonge wako umesababishwa na yeye na akainuka kukusemesha ama kukutumia ujumbe na kusema neno la kurejesha FURAHA NA AMANI yako huyo ni wa kumshika, Mwanaume kwa uhalisia wake ni MMILIKI WA MFUMO DUME kwamba yeye hata kama ni mkosaji Basi analazimisha Mwanamke awe chini tu Lakini ukiona Mwanaume anajisahihisha mwenyewe ama kosa lako halikupashwa kuadhibiwa kama ulivyo adhibiwa, ama namna ya kukuelekeza kwa makosa yako hakufikisha ujumbe kwa hekima ila alitumia hasira, Mwanamke fahamu nature ya mwanaume...

IJUE SABABU YA WAPENZI KURUDIANA BAADA YA KUACHANA

Image
Kwanza fahamu kwamba:- MWANZILISHI WA KUTAKA KURUDI NI YULE ALIYE ONDOKA KABLA YA MWENZIE KUKUBARI. Mtu yeyote aliyeondoka kwa kuamini atakuwa sahihi iwe kwa migogoro au hali ya kutoridhiana na mazingira ya UHUSIANO huyo ndiye huumia zaidi, kwani alikokwenda kama aliweka tumaini kubwa halafu akakutana na tofauti ya aliloamini, Muda mwingi hutaka kurudi kuogopa kuumia kukosa pote Maana ya MAPENZI NI UPENDO kama Mtu aliamua kuondoka huku wewe ukiwa bado UNAMPENDA ni rahisi sana kumpatia nafasi nyingine Na nijuavyo mimi Mtu aliyeachwa humchukuwa Muda kuamini kilichotokea, ndo Maana ni rahisi kwa WABABAIFU kwenda na kurudi wakikuta nafasi zao, Japo kuna hatari katika hilo:- HAKUNA ANAYE TAKA KUACHWA UKIONA ULIMUACHA NA AKAKUPA NAFASI NYINGINE JISAHIHISHE SAWA SAWA MAANA ANAWEZA KUKUPA NAFASI YA MATAZAMIO NA AKIONA CHENGA ATAKUACHA KIBABE. Safari nzuri ya MAPENZI ni usawa wa UPENDO Na kinachokatisha safari ya MAPENZI ni ubinafsi mtu kuamua awe yeye bila kujua MAPENZI NI PANDE ZOOOTE MBILI...