Posts

Showing posts from September, 2021

FAIDA ya Kuvaa Socks Miguuni Wakati wa Tendo la Ndoa..!!!

Image
Utafiti uliofanywa na jopo la watafiti wenye utaalam wa masuala ya uhusiano na saikolojia wa Chuo kikuu cha Wageningen nchini Uholanzi umebaini faida za kushiriki tendo la ndoa ukiwa umevaa socks miguuni. Bila shaka utakuwa umewahi kuona picha za watu wanaotengeneza taswira ya wanandoa wakiwa kitandani na socks miguuni. Huenda waliuamini utafiti huu na baada ya kujaribu wakaona unazaa matunda wayatakayo. Katika utafiti huo, waligundua kuwa uvaaji wa socks miguuni kwa wanaume na wanawake kunaongeza ari zaidi na uwezekano wa kufika kileleni kwa haraka na mshindo wa nguvu zaidi kutoka 50% (kabla ya kuvaa socks) na 80% (baada ya kuvaa socksi). Utafiti huo ulizaliwa kutoka kwenye ule wa awali ulifanywa mwaka 2011 na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins. Watafiti wa Johns Hopikins walikuwa wakijaribu kuusoma ubongo wa binadamu wakati akishiriki tendo la ndoa, kujua madhara ya kisaikolojia na kimwili anayoyapata wakati anapofika kileleni. Wakati wakiendelea na na zoezi hilo, watu waliokuwa wanatumika...

SIMULIZI YA KWELI KABISA

Image
SIMULIZI YA KWELI:! Msichana mmoja alkuwa anaishi na mjomba wake kwasababu wazazi wake walikufa, Baba kwa ugonjwa hatari wa UKIMWI, na Mama alijinyonga mwenyewe.  Alikuwa ni Mtoto pekee, toka kwenye tumbo la Mama yake.  Alisomeshwa na Mjomba wake toka nursery mpaka darasa la 7, na wakati binti uyo akiwa darasa la 7 mjomba wake alianza kuingiwa tamaa ya kimwili kwani alimuona binti uyo kuwa ni mzuri sana akamtamani. Basi siku moja usiku, Mjomba alienda kwenye chumban cha binti nakumtaka kimwili huku akimtisha kuwa akigoma atamfukuza nyumbani kwake na hatomlipia ada za shule. Basi binti akajaribu kupiga magoti nakulia kumuomba Mjomba wake hasiwe na roho iyo, lakini Mjomba wake hakumuelewa kabisa. Basi ikabidi binti akubali kuondoka tu, kuliko kuingiliwa kimwili na Mjomba wake katika umri Mdogo Kama wake.  Kwa hasira mjomba wake akamfukuza usiku uo huo. Basi binti alitoka nakuanza kuzulula mitaani hasijue aende wapi usiku wa manane uo, Binti aliangaika sana, na muda wote ali...

NAMNA YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO KUWA NA FURAHA!

Image
Najua si kila mwanaume ambaye anajua namna ya kuongea au vitu vya kumfanyia mwanamke mpaka kumfanya kuwa na furaha, kumfanya kuchanganyikiwa juu yako. Wanaume wengi wanaamini katika kutoa pesa, kweli wanawake wanapenda pesa, lakini kama unataka mwanamke wako, kukuona mtamu, kuchanganyikiwa juu yako na kila wakati kutaka kuwa karibu na wewe basi mbinu hizi zitaweza kukusaidia sana. (1) Msifie kitu cha tofauti kabisa na mazoea; Amezoea kuambiwa kuwa amependea, ni mzuri, anajua kufanya kitu flani, hivyo ni vitu ambavyo hata Mama yake, marafiki zake na ndugu zake humuambia, wewe kuwa tofauti, msifie kitu ambcho kinamfanya ajue kuwa unamjua zaidi, kitu ambacho kinamfanya ajione wa maana zaidi. Mfano msifie namna ambavyo unapenda ufanyaji wake wa kazi, jinsi alivyo na mzuka wa mapendeleo au naman anavyokupa changamoto ya kufanikiwa zaidi. unaweza sema, “Napenda jinsi unavyojituma… unajau nikiwa na wewe akili yangu inachangamka sana… utafika mbali Baby unajituma sana…” angalie uwezo wake na m...

UNAACHWA KWASABABU UNALALAMIKA SANA KUHUSU KUUMIZWA

Image
Umeshaumizwa mara ya kwanza, ya pili na ya tatu, unabeba maumivu yako kila sehemu. Wanawake wengi walioumizwa wanadhani kua wanaume wana huruma, wanadhani wakimuambia mwanaume “Sitaki tena mtu wa kiniumiza kama X wangu” ndiyo mwanaume hatamuumiza. Hiki ni kitu cha kwanza ambacho ukimuambia mwanaume kuhusu wewe basi kuna uwezekano mkubwa akakuacha kwasababu kuu mbili. Kwanza kabisa nikuwa, kama wewe si msichana wake wa kwanza basi kuna sehemu nayeye ameshaumiza, kwamba ili awe na wewe alishakua na mwanamke mwingine, akamuacha na kumuumiza kama ulivyoumizwa. Mara nyingi unakuta tabia nyingi za X wako naye anazo, kwakulalamika humfanyi akuonee huruma bali akuone kuwa wewe ni mwanamke wa kulalamika lalamika sana hivyo kuboreka hata kuwa nawe kwani anaona pia hujiamini. Pili nikama unamuambia kua wewe ni mtu wa kukataliwa, kwamba wewe ni takataka ya mtu na hakuna mtu anayependa takataka. Tuchukulie mfano chakula kingeweza kuongea, wewe ufike hotelini halafu kabla ya kuanza kula chakula kina...

UMUHIMU WA KELELE KITANDANI NA JINSI YA KUPIGA KELELE (KUNUNG'UNIKA KWA MAHABA)

Image
📢Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu (wengine huita dirty words hata hivyo hakuna dirty words hapa isipokuwa sweet words) 📢Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka jina la mume wako kwa manung'uniko ya kimahaba huleta raha sana pamoja na vikelele vingine kama vile ooooh! aaah! mmmh! nk humpa uwezo zaidi mume kuendelea kukurusha kwa namna ya ajabu na kuweza kukurishidha inavyotakiwa. 📢Kawaida mume huaanza kukuuliza kama kile anafanya unakipenda na kwa njia ni vizuri wewe mwanamke kumweleza vile unajisikia na unaweza kuji-express kwa uwezo wako wote na hapa ndipo unaweza kuongea sweet word zote (ulizojufunza au kadri feelings zako zinavyokupa taarifa kwenye kiungo kile kinapata raha au kinaguswa kwa mguso mtamu zaidi...

KAKA NA DADA YANGU ,UNATAKA KUMJUA ANAEKUPENDA KWELI MWENYE NIA YA NDOA NZURI ?? SOMA HAPA ...

Image
 👉Hujitoa Nafsi Yake,Mwili Wake Kwaajili Yako Sio kukupa Pesa Na Vitu Tu Hapana Hivi N Hatua Ya pili Ya Upendo Wa Dhati.. 🍞Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.” — Yohana 3:16 ,Mungu Alitupenda MPAKA Akaitoa Nafsi Yake Kwaajili Yetu Huu Ndio Upendo... 👉Hutoa Muda Wake hatakama Anakua amebanwaKukutoa Kwenye Shida Flani Au Kukufanya Usahau Mambo Flani Yanayokuumiza. 🍞huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.” — 1 Petro 5:7 ,Upendo Humfanya MTU Ashughulike Na Mambo Ya Anaempenda Maana Huumia Kama Amiavyo Anaempenda. 👉Ukikosea Huwa Hakuhesabii Makosa Yako Wala Misaada Anayo Kupa Huwa Huiona Nikama Alijifanyia Mwenyewe Huku Sitiri Na Lolote Linalokuja Kwako.. 🍞“Heri waliosamehewa makosa yao, Na waliositiriwa dhambi zao.” — Warumi 4:7 👉Ukimpa Utaratibu Sahihi Wa Kukuoa au Kumuoa Hatakama Mgumu Huufanya Bila Shaka Yaan Hata Ukimwambia H...

ULISHAWAHI KUJIULIZA KWANINI MWANAMKE ANALIA KIRAHISI ANAPOUMIZWA!

Image
Kaka👇👇 Ushawahi kujiuliza kwanini mwanamke analia kirahisi anapoumizwa? Ni kwa sababu mwanamke hapendi matatizo. Pale alipo mwanamke, hua panakua na mpangilio mzuri ikiwemo na amani. Muulize mtu yoyoye aliyefanikiwa, aidha atakwambia ni kwa sababu ya mama yake kumpa support au mke wake. Mwanamke aliumbwa kuleta amani na mpangilio katika maisha. Hivyo kama sehemu hakuna amani na mpangilio mzuri mwanamke hawi comfortable hata kidogo. Anaweza akaingia kwenye nyumba ambayo ni chafu na haina mpangilio akaisafisha na kuiweka katika hali nzuri. Anaweza akamuona mwanaume wake mchafu, asie na mpangilio wowote wa maisha akajitahidi kuyaweka maisha yake kwenye hali nzuri ingawa atakutana na vikwazo kutoka kwa mwanaume huyo ikiwemo kutosikilizwa ushauri wake. Mwanamke anafanya kazi yake vizuri mahali ambapo kuna mazingira ya amani na mpangilio mzuri. Kutokana na hayo, hata kwenye MAHUSIANO, mwanamke anahitaji amani na hujitahidi kwa kila hali kuwe na amani. Ukiwa kama mwanaume, ni jukumu lako ku...

Kama wewe unajijua ni mzuri na mrembo soma hii

Image
🍓🍓Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho. 🍓🍓Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo. 🍓🍓Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, wanaumia sema hawasemi tu, machozi yao kama ya samaki. Najua kun...

MWANAMKE NAKUPA UJASIRI HUU

Image
USIJE ukafikiria hata siku moja kwamba unamkomoa mwanamke kumzalisha na kumkimbia,hata siku moja humkomoi sana utampa maumivu ya mda ambayo baadae yatageuka kuwa chakula chenye nguvu ndani ya mwili. Sawa atahangaika na mwanae,masika yote na kiangazi chote,atakula nae kile anachokula,atamvalisha nguo safi hata kama mtoto ananguo tatu tu za kushindia. Lakini mwisho wa siku utakuja kujigundua kwamba wewe ndio mpumbavu,kiumbe ulichomwachia ulidhani ni jiwe kwamba hakitakua na kupata maarifa. Watoto kama hawa waliokataliwa sikufichi huwa wanaakili na vipaji vikubwa sana.Wewe zunguuka dunia,kaponde mali lakini kumbuka kwamba kuna uzee,hapo ndipo utakaporudi na kuanza kumtafuta mtoto wakati huo single mom anafurahia maisha na mwanae baada ya juhudi nzito za kumpigania afanikiwe. Utakuja kukundua kwamba ulitupa jiwe ambalo ndani yake limeviringisha dhahabu,na ndipo mtoto nae anapokukataa. Mungu azidi kuwabariki single Mom wote...Naimani ipo siku mtaivisha tu matunda yenu.MVUA INAKUJA. Mwanamke...

UNAUSHUHULIKIAJE MOYO ULIOUMIZWA??

Image
 Tunaumizwa ktk mazingira tofauti sana Tunaofautiana namna ya kuumia na hali ya kukabiliana na maumivu Inauma zaidi ikiwa aliyekuumiza ni mtu wa karibu na wewe Unafanyaje??? 1. Jitie moyo kwamba utavuka tu 2. Ongea na mtu anayejali, usijifungie au kuficha. Mwone mshauri ikibidi 3. Wewe ni binadamu ruhusu maumivu na machungu, usiyafiche au kuyakataa. Muda huponya. 4. Kama unaimani, peleka moyo wako uliyoumia kwa Mungu wako. Omba ila usilalamike 5. Jipe muda wa uponyaji (acha kuvuta hisia za mumivu) 6. Jifunze kitu kwenye tukio zima 7. Tafuta kitu cha kushukuru au kuwa positive hata kama ni kidogo 8. Kama kuna cha kusamehe basi samehe na achilia Mtu wa kwanza mwenye mchango mkubwa wa kukutoa hapo ulipoumizwa ni wewe mwenyewe

Hatari: Aina 10 za Wanawake Ambao Mwanaume Hafai Kuwa na Uhusiano Nao Zaidi ya Kujitakia Matatizo.

Image
Japo kila mtu anakasoro zake ila kuna tabia ndogo ndogo ambazo huleta maharibiko kwenye mahusiano na kuufanya uhusiano kubadilika kutoka kwenye amani na utamu unaopaswa kuwa nao na kuwa mchungu iwapo mwanaume asipokuwa makini wakati wa uchaguzi wa mwenzi anaetaka kuwa naye na nimejaribu kufanya utafiti na kuongea na wanaume walioachana na wenzi wao pamoja na wale waliopigwa chini japo wanang'ang'ania wao ndo waliowatema wapenzi wao na kuongea nao kwa mapana juu ya nini kiliwafanya wafikia uwamuzi huo mzito wa kuachana na wenzi wao, ndipo tukapata maelezo mengi na kukuandalia wewe mpenzi msomaji wa App hii aina ya wanawake kumi ambao inakubidi kufikilia mara mbili kwa marefu na mapana kabla ya uwamuzi wa kuamua kumpa sehemu ya maisha yako. 1. Mwanamke Mchungu: Unamjua yule mwanamke ambaye huwa na hasira na jinsia ya kiume muda wote? Huwa haishi kulalamika wanaume huwa ni wapumbavu, mwanaume haaminiki ni kama mbwa, yeye hasira yake huwa ipo juu ya wanaume muda wote na anaona mwan...

Hatua 7 kwetu sisi vijana katika kuanza safari ya kujitegemea

Image
  1. Hatua ya kwanza jifunze kufanya kazi yeyote bila kuangalia elimu yako au fanya biashara yeyote ndogo 2. Hatua ya pili jifunze kujiwekea akiba ya hela ndogo ndogo unazopata 3. Hatua ya tatu tengeneza malengo ya mwaka mmoja au miwili itakapofikia hatua flani kiasi flani cha hela uwe umefikisha 4. Hatua ya nne tafuta chumba cha kupanga cha bei rahisi kisha ulipie miezi Sita huku ukiwa bado upo nyumbani 5. Hatua ya tano anza kununua vitu vidogo vidogo kama Godoro, net, capet na ndoo ya kuogea na jiko la kupitia 6. Hatua ya Sita ndani ya week hakikisha unatumia siku mbili au tatu ukiwa kwako hapa nina maana unaanza kujizoesha kukaa peke yako na kujitegemea ukiwa peke yako 7. Hatua ya saba hamia kwako na kuanza kujitegemea na kuanza kujitegemea taratibu NOTE THAT: Unapoanza safari ya kujitegemea hakikisha unajitenga au unajiepusha na mambo yafuatayo 1. Kampani ya wala bata au vijana wala bata 2. Epuka mahusiano yasiyo na tija yatakuwa kwenye mstari 3. Epuka safari zisizo na ulazima ...

KUELEZANA UKWELI KWENYE UCHUMBA WENU NI KITU CHA MUHIMU,EBU TUJIFUNZE KWENYE MKASA HUU...

Image
Mwaka fulani kaka mmoja katika kanisa fulani alitaka kuoa,kweli akaanza taratibu za kutafuta mchumba ili hatimaye aweze kuoa.. Kaka huyu alikuwa ni muudhuriaji mzuri wa ibada kweli alikuwa awezi kukosa ibada kizembe , vile vile alikuwa mtanashati sana,mdada awaye yote ni ngumu kumkataa.. Basi akamshirikisha mchungaji wa juu ya swala lake la kuoa mchungaji wake akaampa baraka zote,,basi akachagua dada mmoja katika ilo kanisa na hatimaye wakaanza taratibu zote... Kweli walifanikiwa kufunga ndoa yao,na baadae baada ya tafrija ya harusi yao wakaambiwa sasa waende nyumbani... Kilicho washangaza wengi kijana huyu pamoja na utanashati wake alikuwa hana chumba wala nini,sasa akaulizwa kwann umechukua hatua kuoa wakati huna chumba wala mahali popote pakuanzia maisha na mkeo,kijana akawa hana majibu,kumbe kijana alikuwa anaishi kwa rafiki yake na hata kudiriki kumwambia yule binti kule kwa rafiki yake ni kwake na wakisha oana basi rafiki yake yule atawapisha.... Watu wakaishiwa na nguvu ikabidi...