Posts

Showing posts from November, 2020

Maalum kwa kina Dada, Sheria 5 za Kumridhisha mwanaume wako kimapenzi!*

Image
Mtaalam wa mapenzi, Bi. Layla Quinn, anasema wamaume ni viumbe rahisi sana kuridhishwa tunapokuja katika suala la unyumba. Mwanzoni, kitu kinachomhamasisha mwanaume kujamiiana ni muonekano wako (mwanamke) tu wakimahaba, lakini kadri siku zinavyokwenda ndani ya mahusiano, inakuwa ngumu kupandisha munkari wake, hata kama wewe ni mwanamke mrembo barabara! Bi. Layla anaendelea kusema kuwa, kumridhisha mwanaume wako kitandani inaweza ikawa rahisi kama tu utakumbuka kuweka mambo katika hali ya mvuto ( Remember to keep things intereting!). Tafuta namna ya kuleta hamasa, iliyokuwepo siku za mwanzo mwanzo, na kwa hakika utakamata usukani. Sasa swali linakuja…..Nini unatakiwa kufanya, ili kumridhisha mwanaume wako kitandani? Kujibu swali hilo, Bi. Layla amekuja na sheria 10 zifuatazo, ambazo kama zitazingatiwa kwa makini, basi mwanamke hatokuwa na shida ya kumridhisha mwanaume wake kitandani na nyanja nyingine muhimu za mahaba. # 1 Vaa vizuri. Utamu wa kujamiiana unaweza ukawa kwenye tendo lenye...

NINI CHA KUFANYA PALE UNAPOGUNDUA KUWA MKE WAKO AMETEKWA KIMAPENZI NA MWANAUME MWINGINE!

Image
Najua mnaweza kunishangaa na kuhisi labda jibu ni rahisi, ukasema mimi mke wangu akinisaliti si namuacha tu! Lakini si rahisi kiasi hicho na si kila mwanaume ana huo ujasiri wa kumuacha mke wake. Kuna wanaume wengi sana wanasalitiwa na wake zao na wameshahangaika mpaka wamechoka, wamejaribu kusuluhisha lakini wapi? Wameenda kwa ndugu wa mke na hata kuongea na michepuko ya wake zao lakini wapi! Ndiyo kama ambavyo wanawake wengi huteseka katika ndoa zao basi kuna wanaume wengi nao huteseka. Kwa bahati mbaya wanaume huumia zaidi kwani huona aibu kutafuta msaada, huona aibu kuomba ushauri na hivyo kuvumilia. Ni ujasiri sana kwa mwanaume kukiri na kusema mke wangu ananisaliti wakati huo huo bado anaishi na huyo mwanamke. Ni aibu kwani jamii itakushangaa kukuona kama si mwanaume kamili. Kwasababu hiyo wanaume wengi huvumilia na maumivu yao, hujaribu kuficha kwani hawana hata nguvu za kumfukuza mke. Unaweza kudhani kuwa ni wale wanaume tu ambao wanalelewa lakini hapana, wapo wengi na kazi zao...

KABLA YA KUJIULIZA NI KWANINI ANAKUSALITI MARA KWA MARA HEMBU JIULIZE KWANZA NI KWANINI UNAMSAMEHE MARA KWA MARA?

Image
Hili ni swalia mbalo naulizwa kila siku, ukiingia katika inbox yangu utakuta asilimia tisini ya meseji ni za wanawake ambao huniuliza kuhusu kusalitiwa. Mwingine atakuambia kuwa nimemfumania mume wangu na Dada wa kazi, mwingine mume wangu bado anawasiliana na X wake mpaka anafikia kunipigia simu na kunitukana. Mwingine mumewe anatembea na vitoto vya shule na hataki kuacha, mwingine mumewe kawekwa kinyumba na mwanamke huko! Mwingine ni mchumba wake anamsaliti, kila sikua nakuta meseji za wanawake wengine, mwingine ni jirani yake anatembea na mumewe. Mwingine mchumba wake kazaa na mwanamke mwingine lakini bado anamuambia anampenda. Maswali ni mengi kuhusu usaliti na mara nyingi wanawake wanaoomba ushauri wanakua bado wapo katika ndoa au hayo mahusiano ya kusalitiwa, wanawasamehe wanaume kila siku. Kwangu kumsamehe mtu si shida, lakini Dada zangu, kwa wale niliowajibu na hata ambao bado meseji zenu sijawajibu nataka mnijibu au mjiulize swali moja. “Kwanini unamsamehe huyo mwanaume?” Hili ...

DHAMANA KUBWA YA UPENDO 💞 WA MWANAMKE NI KUMMILIKI MWANAUME.

Image
Usidanganyike na UPENDO 💞 WA MWANAMKE ikiwa haupo kwenye HIMAYA yake🤔 Kwanza ifahamike kwamba MWANAMKE NI MSIRI WA UPENDO 💘  Ikiwa Mwanamke anakuonyesha UPENDO kwa namna unavyoweza kuuhisi wakati huo haupo kwenye ulinzi wake niamini neno hili:- ▪ AMEKUFANYA RAFIKI. Mwanamke ni MJUZI WA KUFURAHIA KAMPANI na hilo limewapofusha wanaume wengi wakadhani WANAPENDWA kumbe wala hawajafikia VIGEZO vya kupewa PENDO LA KWELI 💝  Ili Mwanamke ampende Mwanaume ni mpaka AMPE UHURU WA KUMMILIKI maana yake awe na hakika kwamba UPENDO 💘 WAKE AMEUWEKA MAHALA SALAMA akiwa na maana kwamba yupo peke yake 😂😂 Kinyume cha hapo NAO NI WAWINDAJI 🏹 TU muda wowote anaweza kukulengaaaaaaa 🤣

MAHABA YA KIPWANI MATAMUUU💞💞💞 👌UNAJUA JINSI YA KUMUANDALIA BWANA CHAKULA CHUMBANI KWAKO.....???

Image
LEO NATAKA NIKUFUNDISHE MWARI MAHABA MATAMU YANAYOMGANDISHA MUME KATIKA MAISHA YAKO YA NDOA LAZIMA UWE MBUNIFU UPO NYONYO....???? TAFUTA KAWA LAKO NA SINIA KUBWA KIASI NA UPEPEO WAKO....NA MSWALA WAKO.... SAFISHA NYUMBA AU CHUMBA CHAKO...FUKIZA UDI CHUKUA KANGA ZAKO NYEUPE ZIFUKIZE UDI VIZUURI FUNGA MLANGO WAKO ANZA MAPISHI SASA PIKA CHAKULA ANACHOKIPENDA BWANA KUWA MAKINI UNAPOPIKA HAKIKISHA KINAKUWA KIZURI ZINGATIA MUDA WA BWANA KURUDI ILI ALE CHAKULA CHA MOTO UKIMALIZA ANDAA SINIA LAKO WEKA BAKULI LA MAJI YA KUNAWA NA JAGI LAKE, KISAHANI WEKEA SABUNI YA KUNAWIA MIKONO NA KITAULO CHA KUFUTIA MIKONO VIKOMBE 2 NA SAHANI BAKULI INATEGEMEA CHAKULA ULICHOPIKA UTAANDAA TREY WEKA JAGI LA MAJI YA KUNYWA NA GLASS 2....HAHAHAHA ....PATAMU HAPO TANDIKA MSWALA WAKO BIBI WEKA SINIA LAKO LIFUNIKE VIZUURI NA JAWA LAKO LENYE UJUMBE WA MANENO..... WEKA VITU VYAKO vyote...... UKIMALIZA HAKIKISHA UKIINGIA NDANI HUTOKI MPAKA BWANA AJE NENDA KAOGE MAMA VIZUURI UKIMALIZA JIPAMBE KIDOGO...JITIE MA...