Posts

Showing posts from August, 2023

ANGUKO KUBWA LA WANAWAKE WENGI NI KUTAKA KUBEMBELEZWA BADALA YA KUPENDWA

Image
Ipo dhana kubwa katika MAHUSIANO NA NDOA nyingi, Mwanamke kuamini anapobembelezwa ndo anapendwa😂😂 Mwanaume kwa maumbile yake ni mtawala📍 Uonapo Mwanaume anambembeleza Mwanamke muda mwingi ujue hapo ;- 👉🏼 HAKUNA UPENDO ILA KUNA ULAGHAI. Mwanaume akimpenda Mwanamke husimama kama Mwanaume na haimaanishi atakuwa MKALI kila eneo, yapo maeneo lazima Mwanaume awe kama Mwanaume, na kuna maeneo Mwanaume anakuwa kwenye mazingira ya kujenga AMANI KWA MWANAMKE WAKE💯 Wanawake kutaka kubembelezwa ni anguko lao kwa vipi?;- 👉🏼 MWANAMKE UNAPOTAKA MWANAUME AKUBEMBELEZE MUDA WOTE NI SAA NGAPI UTAJUA WAJIBU WAKO KAMA MWANAMKE🤷🏻‍♂️ Ndo maana wanaume waleeeee wapenda mteremko wamejikita katika kujifanya ni wanyenyekevu na kuwakamata wanawake wapendao kubembelezwa😂😂 Mwanaume anaweza kuwa na UPENDO WA DHATI JUU YA MWANAMKE WAKE ila hana usanii wa kubembeleza ila anaweza kubembeleza panapo bembelezeka📍 Kwa wanawake wengi wa leo kama Mwanaume hajambembeleza etiii anaonekana hana UPENDO ♥️ Hakuna ha...

MWANAUME MWENYE UPENDO MWINGI HAWEZI KUMPATA MWANAMKE MWENYE MAHITAJI YA UPENDO

Image
HUO. Asilimia kubwa WANAWAKE wengi wanamhitaji Mwanaume mwenye FARAJA YA MAPENZI NA SIO UPENDO Soko kubwa la MAPENZI limerawaliwa na wanaume wanaojikita katika kumhadaaa Mwanamke kwa kumpa FARAJA Kwa sasa Wanawake wengi wamejikita katika utafutaji wa PESA ili kuwadhibiti wanaume na sio kama wanatafuta kwa ajili ya maisha yao na familia zao, Mwanaume wa leo anamtaka Mwanamke kwa kitu kinachoonekana, una kazi nzuri utaolewa fasta, una biashara utachumbiwa fasta na ujinga wa Mwanamke ni;- KUAMINI ANAPENDWA HUKU AKISAHAU ANA KITU KINACHOMUUZA MWENYEWE Wanaume wengi wa sasa ni wavivu wa kufikiri na hilo limedhoofisha nguvu kazi, Matamanio ya ki maisha mazuri yamewala vijana wengi, na kuwafanya wajikite katika kuangalia wanawake wenye kitu ili wao wasitesekee Mwanamke anataka kumiliki kitu ili Mwanaume aje mwenyewe, Na wanapoyaanza maisha ile NATURE YA KI MAUMBILE inachukuwa nafasi yake na mara moja kila jinsia inahitaji haki yake, Mwanamke kupewa, Mwanaume kumiliki, ndipo MIGOGORO HUZALIW...