Posts

Showing posts from March, 2021

VIFAA VYA KUANDAA CHUMBANI KWA KABLA NA BAADA YA TENDO

Image
 mwanamke lazima ukijua leo una mechi na mpenzi wako lazima ujiandae,,ni aibu kuingia kwenye mechi hujaandaa vitu πŸ‘ŒπŸ‘Œ hakikisha ndani ya chumba chako hukosi vitu vifuatavyo *VITAULO  MAJI YA VUGUVUGU  JUICE AU MAJI🍸 MATUMIZI YA VIFAA HIVYO YAPO KAMA IFUATAVYO πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Vitaulo vinatumika kujifutia Mkimaliza game au mkiwa mapumziko mkisubiri round nyingine kitaulo kitatumika kujifutia Maji ya uvuguvugu kazi yake mkishamaliza kufanya mapenzi unachukua maji ya vuguvugu nakitaulo chako unakichovya maji yale kisha unaanza kulikanda kanda hogo  Taratibu likande kande kama unapandisha nakushusha yale maji yanasaidia kulifanya hogo lirelax pamoja na misuri  Juice au maji nimuhimu yawepo chumbani yatawasaidia kushusha pumzi na kurelax koo kutokana na shughuli hiyo mliyokua mnafanya......

WIVU UKIZIDI MWANAMKE ANAKUONA KAMA HUJIAMINI

Image
Hakuna wanaume warahisi kuwachukulia wapenzi/wake wapenzi wao kama wanaume wenye wivu wa kupindukia. Kama wewe ni mwanaume ambaye, ukikutana na mtu kasimama na mpenzi/mke wako hata kabla ya kuuliza ni nani ushapaniki na kununua, kama wewe ni yule ambaye, kila siku unakagua simu ya mpenzi wako, ukaangalia namba ukiona ya kiume unapiga na kuuliza wewe nani? Kama wewe ni yule, umekaa sehemu mtu akapita tu na kumsalimia mpenzi wako basi unanuna na kuanza kuvimbisha mashavu, kugombana kabisa mpaka unaanza kutukana basi mpenzi wako akikutana na baharia ni dakika mbili. Ni rahisi kumtongoza mwanamke wa namna hii kwasababu kuu mbili. Kwanza nikwakua hana furaha yale mambo anayofanyiwa yanamkera na kumnyima amani hafurahii kuwa na wewe kwakua kila siku mnagombana. Kuna mara zaidi ya 100 alishafikiria kukuacha lakini akiwaza muda mliotumia, akiwaza watoto labda na shida ya kupata mwanaume mwingine anajiambia ngoja nivumilie atabadilika. Kwa maana hiyo akipata mtu mwingine anasema afadhal...

NINI CHANZO CHA MAHUSIANO NA NDOA KUKOSA MVUTO KAMA ILIVYOKUWA MWANZOπŸ€”

Image
Kwanza ifahamike wazi;- πŸ‘‰πŸΌ KINACHO IMARISHA MAPENZI NI FURAHA NA AMANI πŸ’― Kama hivyo vitu vikitoweka wala husumbuki kutafuta chanzo cha mabadiliko ya mwenza wako, Mahusiano ama ndoa yeyote hakuna mtu anafuata TENDO LA NDOA peke yake, Maana hata tendo la ndoa linachangizwa na AMANI PAMOJA NA FURAHA na tayari hivyo viwili vimekuwa bidhaa adhimu kwa vyovyote vile NURU YA PENZI HILO LAZIMA ITOWEKEπŸ“ Asilimia kubwa ya wapenzi wa leo ni kutofautiana UMUHIMU WA PENZI HUSIKA kwani kuna wanaodhani unapokuwa na mahusiano ama ndoa ni kupata msaidizi wa mambo ya kuongeleka  badala ya ile maana halisi kwamba;- πŸ‘‰πŸΌ MAHUSIANO AMA NDOA NI CHAGUO LA NAFSI PAMOJA NA MOYOπŸ’― Na kwa mahusiano pamoja na ndoa zitikanazo na NAFSI pamoja na MOYO huwa zinajiendesha kwa HISIA. Tofauti na mahusiano/ndoa zinazojengwa na VITU, NGONO pamoja na MUONEKANO wa mtu, Maana vyote hivyo hupungua kama sio kutoweka kabisaπŸ’― Ukimpenda Mtu na kumpa THAMANI yake kama Mtu muhimu maishani mwako niamini utakuwa Kweny...

Jambo gumu katika maisha ya mwanaume ni:-

Image
MITHALI : 31⤵️10. MKE MWEMA NI NANI AWEZAYE KUMWONA?MAANA KIMA CHAKE CHAPITA KIMA CHA MARIJANI.  Jambo gumu katika maisha ya mwanaume ni:- πŸ‘‰ KUPATA MKE MWEMAπŸ’― Kwa DUNIA tuliyopo Sasa Mwanamke kuwa Mwema kunahitaji Mwanaume awe zoba, Wanawake wengi wanajihesabia kuwa Wana jiweza hata kuona umuhimu wa Mwanaume ni kwa haja ya Mwili pamoja na mahitaji ya mbegu za kiume ili wapate watoto🀦‍♂️ Tofauti na Mwanamke mwema ambaye yeye ajualo ni moja tu :- πŸ‘‰ HUMTENDEA MEMA WALA SI MABAYA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKEπŸ’― Uonapo Mwanamke anapambana kutafuta uwiano Kwenye MAHUSIANO AMA NDOA huyo ni rahisi kuwa SINGLE MOTHER maana katika HULKA ya Wanaume pamoja na AGIZO LA MUNGU Mwanamke pasipo Mwanaume ni bure, Ni hasara kwa Mwanamke kulazimisha uwiano baina yake na Mwanaume anayelala kifuani kwake, Mwanaume anabakia kuwa MUME na Mwanamke anabakia kuwa MKE. Huwezi kuwa MKE MWEMA kwa kujiamini katika kujihudumia, Maana jukumu la maisha ya Mwanamke baada kuondoka kwa wazazi ni MWANAUMEπŸ’― Kama...

IJUE TOFAUTI YA MWANAMKE ALIYE KWENYE NDOA NA AMBAYE HAJAOLEWA PINDI MAPENZI YANAPOMPA MAUMIVUπŸ’―

Image
Kwanza fahamu kwamba maisha yanahitaji MAPENZI IMARA si kwa Mwanamke ama Mwanaume, Mapenzi yanabeba dhamana kubwa kuliko UNDUGU nyakati zile mtu anajihisi yupo katika MAPITO YA KI MAISHA. Nirejee katika maana ya ANDIKO HILI :- πŸ‘‰ MWANAMKE AMBAYE HAJAOLEWA ANAPOINGIA MIGOGORO KWENYE MAHUSIANO YAKE HUTAMANI MABADILIKO NA ASIPOYAONA HUOMBEA MAHUSIANO MAPYA πŸ’― Na hilo ndilo hubeba maana halisi ya UPENDO WA DHATI πŸ’˜ WA MWANAMKE kwa sababu kama Mahusiano yamekosa mvuto kuyalazimisha ni kujipa stress. πŸ‘‰ MWANAMKE ALIYE KWENYE NDOA AONAPO NDOA YAKE HAIISHI MIGOGORO MARA ZOTE HUTAFUTA FARAJA ILI KUFUBAZA MAUMIVU YA NDOA YAKE πŸ’― Na hilo ndilo hudhoofisha FURAHA YA MWANAMKE kwa kujiona ni mhitaji wa FARAJA kuliko UPENDO na ndipo Mwanamke huyu huonyesha kutokuwa na UPENDO WA DHATI πŸ’˜ kama wanawake wengine, Maana anajihesabia ubinafsi kuliko hata maana halisi ya NDOA. Huyo ndiye Mwanamke na tofauti yake pindi awapo Kwenye MAHUSIANO AMA NDOA na kila Mwanaume na ajue kukabiliana na Mwanamke w...

HII KWA WANANDOA WOTE AU WACHUMBA

Image
Kama mume wako anapitia wakati mgumu wa kikipato na ni mpambanaji muache bado awe mwanaume, narudia muache bado awe mwanaume. Si kila wakati mwanaume anafanikiwa, si kila wakati atakua sawa na si kila wakati mwanaume atakua na jibu la kila swali. Kama wewe unafanya kazi na unacho hembu hudumia familia bila kinyongo wala kulalamika Usiruhusu watu wa nnje kujua hali yenu ya ndani, si Mama yako, baba yako wala mashoga zako. Hata kama unaenda kuomba msaada huna haja ya kusema mume wangu haingizi chochote mimi ndiyo kila kitu ndani ya nyumba, chakula mimi, ada mimi, sijui hiki na kile Imimi. Wewe sema tu mimi na mwenzangu tumekwama, watu wazina watekuelewa. utasaidiwa bila kumdhalilisha mume wako, Narudia acha kumtangaza mume wako kwa ndugu zako na mashoga zako kuwa hana kitu. Wakati mwingine mpe hata kama ni kidogo basi atoe mbele za watu. Msitiri kwa ndugu zako kwa kuseama mchango huu katoa flani na si kujifaharisha mbele yao kuwa wewe ndiyo umetoa na mume wako kaja kama mzigo. Fa...

KWANINI KUTOKA NJE YA NDOA?

Image
1: KUTAFUTA KILICHO KOSEKANA. -FURAHA YA MWANANDOA NI KUPATA KILE ANACHO HITAJI, JIFUNZE KUTOA CHOCHOTE KWA YULE UMPENDAE SAWASAWA NA KIWANGO CHA SHAHUKU YAKE, USIWE MZEMBE KATIKA MAHUSIANO YAKO, MTU MZEMBE HAFAI KABISA TENA HATAKIWI KATIKA MAJUKUMU YA NDOA. LAZIMA UJUE KUTO KUTIMIZA SHAHUKU  YA UYO UMPENDAE NI KOSA.  NB: #KWENYE MAHUSIANO YA NDOA KUNA KAULI MBILI AMBAZO UMTENGENEZEA MWENZA WAKO FIKRA ZA KUWAZA NAMNA YA KUTAFUTA MSAADA NJE YA NDOA. 1: KAULI YA KWANZA NI KAULI AMBAYO INAHARIBU UBONGO WA MWANAMKE NI PALE MWANAUME UNAPO SEMA NENO  "S I N A" -AISEEE KAULI HII KWA MWANAMKE NI HATARI, MWANAMKE HAJUI NENO "S I N A" BRO HAPO TUELEWANE WANAUME WENZANGU NA NDIO MAANA MUNGU ALIPO MUUMBA EVA YANI CHA KWANZA ALIHAKIKISHA KILA KITU KIPO, MUNGU AKAANZA KUBANANA NA ADAMU YOTE HAYA YALIKUWA NI MAANDALIZI YA ADAMU KUISHI NA MWANAMKE NA KWASABABU MUNGU ANAFAHAMU ADUI MKUBWA WA MWANAMKE NI NENO "S I N A" MUNGU AKAMWAMBIA ADAMU PIGA KAZI HAKIKISHA UMEJ...

HII POST NI MAALUMU KWA VIJANA WA KIUME!

Image
Hivi kwanini baadhi yenu mmekuwa washenzi na wapuuzi kiasi hiki?? Umemfuatilia binti wa watu kwa zaidi ya miezi sita. Richa ya kukukataa na kukukwepa kwa kipindi chote hicho bado hukukata tamaa uliendelea kumfukuzia huku ukimuahidi furaha na mapenzi ya dhati Kwa roho nyepesi kama tunavojua wanawake wameumbiwa roho ya huruma binti wa watu akaamua kukubali ombi lako si kwa kukupenda bali kwakukuonea huruma na kwa kujali muda unaopoteza kwaajili yake. Ni kweli mwanzo hakukupenda lakini tangu alipokubali kuwa na ww taratibu akawa anakuweka moyoni mwisho wa siku akakupenda mazima. Kutokana na ahadi zako ukamfanya aweke imani yake kubwa kwako akitegemea siku moja utakuja kuwa mume wake. Sasa hata sijui uliitoa wapi hiyo roho ya kishetani Baada ya kumfunua funua na kumchezea mtoto wa watu kwa zaidi ya mwaka na miezi ukaamua kumtelekeza na kwenda kuanzisha mahusiano na mwanamke mwingine. Maskini binti wa watu kwa unyonge anakuuliza "Nimekukosea nini mpaka unifanyie hivo" Kwa ...

Hawa Ndio Maadui Wakubwa Wawili Wa Uchumba Au Ndoa Yako.

Image
...... Miongoni mwa matatizo mengi ambayo yanayowasumbua watu moja ni mapenzi lakini watu bado hawajagundua nini chanzo cha matatizo haya. Kuna watu wanateseka sana na kupata taabu katika uhusiano wao wa kimapenzi mpaka watu wengine wanaamua kuapa na kusema hawataki kusikia kitu kinachoitwa mapenzi hii ni baada tu ya kutendwa vibaya au kusalitiwa na mwenzi wake.   Katika safari ya mapenzi kuna mambo mawili ambayo ni uchumba na ndoa. Kabla hatujaanza kujua kiini cha matatizo ya ndoa au uchumba tuangalie kwanza nini maana ya ndoa na uchumba. Uchumba ni mahusiano ya mwanzo kati ya mwanamke na mwanaume kabla ya kufunga ndoa. Huwezi kuingia kwenye ndoa bila kupitia uchumba hivyo basi uchumba ni daraja la kupitia kuelekea kwenye ndoa. Hapa katika uchumba watu wawili hao kila mmoja asipokuwa wazi kuonyesha vilema au kilema chake ndio chanzo cha matatizo katika ndoa. Kipindi hiki cha uchumba kama wapenzi mnatakiwa kuwa wawazi, kila mmoja amjue mwenzake amchunguze na kumjua vema na ...

HIVI UNAJUA KWANINI UNAENDA KUACHWA NA KUSEMA WANAUME WOTE NI MBWA

Image
Kabla hujaita wanaume wote mbwa tulia Soma hii  Chukua kikombe cha chai, kile kikubwa kabisa, pika chai yako nzuri, weka iliki, tangawizi, maziwa na kila kitu kizuri. Baad aya hapo inywe, unaona ilivyo tamu, ni tamu ee  unatamani kuinywa kila siku. Basi sasa ongeza vijiko vitano katika kilekile kikombe, usiishie hapo, ongeza tangawizi vijiko kumi, hujaishia weka kiganja kizima cha iliki katika kile kikombe kimoja? Unaona? Inafaa kunywa? Ni chai tena hapo au ni nini? Basi kama haifai kunywa hivi ndiyo wanawake wengi huachwa. Mwanzo wa mapenzi ni kama kile kikombe cha kwanza. Mnapigiana simu kwa kiwango, mnaongea kwa kiwango, mnaonana kwa kiwango, kulalamika nako ni kwa kiwango. Lakini shida nhi pale mapenzi yanapokua matamu, wanawake huzidisha sukari wakidhani wanazidisha utamu kumbe wanaharibu. Anataka kukupigia simu kila dakika, akikuona online nataka uchart naye  kutwa nzima, unakula umtumie meseji, unaingia kazini tutume, umetoka utume, yaani kila kitu kinazidi...

OMBA KWA KIPIMO MUME WAKO HANA KASHIMO KA KUCHIMBA PESA CHUMBANI

Image
Hakuna sehemu akifika anafukua na kuchukua pesa, anatafuta tena kwa shida. Kwa maana hiyo kama una mwanaume angalau anakuhudumia na kujali ndugu zako basi hembu omba kwa kipimo na kama ndugu zako ni wale wa kuombaomba kila siku basi wewe kuwa ndiyo mtu wa kukataa. Kwamba kuna wanaume wengine wakiombwa pesa ukweni wanashindwa kusema hapana. Kama una ndugu wana hiyo tabia ya kuombaomba, wapige marufuku kabla ya kukuharibia ndoa, mwanaume ambaye hawezi kukataa ana sifa moja, anatoa lakini anakasirika na kuwa na chuko za ndanindani, hawezi kusema hapana mbele za watu ila anasema hapana huko kwenye roho. Huyu ni mbaya kuliko yule ambaye anajua kusema hapana kwani anakaa na vitu vingi kwenye rohjo akipasuka anapasuka na kila kitu. Kwanza si heshima ndugu zako kumuomba mume wako pesa moja kwa moja, wanapaswa kuongea na wewe ili angalau upime shida yao kama ni ya maana au ni yakuwakatalia, nyingine hasa ambazo si zalazima basi ukazinyamazia. Wakishaanza kumpigia Baba hiki, sehemu nina ...

KAMA ANAKUPA KILA KITU BASI JIFUNZE MAMBO HAYA MAGUMU HATA KUYAWAZA

Image
Kama una mwanaume/mwanamke ambaye anakupa kila unapoomba basi jifunze kuweka akiba na kuwa makini usije kuwa mlemavu wa kipato. Nilazima ujifunze kutafuta cha kwako kwani katika maisha kuna mambo mawili, moja linaweza lisitokee na lapili ni lazima litokee. Jambo la kwanza ni kuchokwa, unapkua ni mtu wa kupokea tu na unatumia kama hakuna kesho basi jua kuna wakati huyo mtoaji atachoka kutoa. Hapo ndiyo ataanza manyanyaso, atatafuta visababu vya kukufanya ujisikie vibaya ili tu kama una akili basi ujitambue kuwa unapasw akuacha kuombaomba na kuanza kutafuta. Hata kama kakukataza kutafuta anataka ujiongeze ulazimishie kwani anakua amekuchoka na kukuona mzigo. Hili ingawa hutokea kwa wengi lakini si lazima litokee, anaweza asikuhcoke na ukawa ombaomba wa kudumu. Jambo la pili ambalo wengi hatatutaki hata kulizungumzia ni kifo, hili nilazima litokee, upende usipende, uwaze usiwaze, uongee usiongee. Sasa ukitangulia wewe unayemtegemea hakuna shida kwani sidhani kama kaburini utahitaj...

BOFYA HAPA KUSOMA SIMULIZI TAMU ZA MAPENZI.

Image
  BOFYA HAPA SASA UNAWEZA KUSOMA HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA KUPITIA SIMU YAKO BUREE KABISA BOFYA HAPA KUSOMA SIMULIZI NZURI ZA MAPE***NZI

KWA NINI UNATESEKA KISA MAPENZI ??? HEBU SOMA HAPA UPONE

Image
  Utavumulia maumivu na manyanyaso mpaka lini ? Utaendelea kuvumilia usaliti na dharau zake kisa tu yeye ana pesa au kisa tu ye ni mrembo sana au handsome?? Mwonekano wake mzur au pesa zake vinakusaidia nini kama hakuheshimu wala hakujali ?? Unahis ukimuacha utapoteza maisha na furaha au vipi?? KAKA/DADA epuka kuwa mtumwa wa penz kwa mtu asiye jali uwepo wako kwake. Usiogope kumpoteza hata kama bado unampenda. Kwan wangap uliwah kuwa nao ila sasa umewasahau ?? Kumbuka ulimchagua awe taa ya kuangaza maisha yako sasa kawa fisadi wa mapenz hakufai. Ktk maisha yako jifunze kuwaruhusu wanso taka kukaa mbali na maisha yako. Huwez wazuia watu wanao kukimbia bali jifunze kuishi bila wao na kuamin kesho utapata bora zaid yao. Machozi yako hayatoshi kufuta kumbukumbu mbaya ko kaa chin kisha inuka kishujaa. Leo anakuona Taka Taka kesho atakuona Almasi baada ya kukupoteza na ukaokotwa na wengine Epuka kuishi kwa historia kila kitu kinatokea kwa mipango ya Mungu. Shida zinapo kuzidia ujue Neema...

πŸ’•πŸ’•MWANAUME JIFUNZE NAMNA YA KUMUANDAA MKE ILI AKUPE KITUMBUA CHA ASUBUH ASUBUH

Image
  πŸ’• πŸ’• ✍ Ungana Nami mtanga mwenyewe Niwape Urtamu Wa Kula KITUMBUA Cha Asubh Na Kaubaridi Kale Hahahaaa Hahahaaa πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• Ukishauweka mguu katikat ya map-aJja yake basi Fanya kama kusogezea sogeza au kuukandamiza kwenye KITUMBUA kama kavvaa chuppi au hajavvaa basi ni vizuri ndo vyema zaid πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• Wanaume wengi NI wavivu haswaaa kwenye KITUMBUA cha ASUBUH make hawajuw umuhimu na Utramu wa KITUMBUA cha ASUBUH na hata kama unajuwa basi haumuandai mkkeo ipasavyo sasa jifunze ni jinsi gani utamuandaa mkeo siyo kumuingiizia tu ndizi bila kumpandisha steem hahahaaa hahahaaa mpooooo Leo kungwi wenu  Nimekuja na kitu kipya kama huna Ndoa fumba macho πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• πŸ’• Basi sasa baada ya harakat za kufungana magori ya usiku jitahidini kukoga ili kutoa ule uchovu wa usiku make kukimbia uwanja si mchezo hahahaaa basi nendeni mkoge wote na msifiane kwa kaz nzuri mliyoifanya uliyomtupia magori kwa...