MWANAUME MWENYE UPENDO MWINGI HAWEZI KUMPATA MWANAMKE MWENYE MAHITAJI YA UPENDO
Asilimia kubwa WANAWAKE wengi wanamhitaji Mwanaume mwenye FARAJA YA MAPENZI NA SIO UPENDO
Soko kubwa la MAPENZI limerawaliwa na wanaume wanaojikita katika kumhadaaa Mwanamke kwa kumpa FARAJA

Kwa sasa Wanawake wengi wamejikita katika utafutaji wa PESA ili kuwadhibiti wanaume na sio kama wanatafuta kwa ajili ya maisha yao na familia zao,
Mwanaume wa leo anamtaka Mwanamke kwa kitu kinachoonekana, una kazi nzuri utaolewa fasta, una biashara utachumbiwa fasta na ujinga wa Mwanamke ni;-
Wanaume wengi wa sasa ni wavivu wa kufikiri na hilo limedhoofisha nguvu kazi, Matamanio ya ki maisha mazuri yamewala vijana wengi, na kuwafanya wajikite katika kuangalia wanawake wenye kitu ili wao wasitesekee

Mwanamke anataka kumiliki kitu ili Mwanaume aje mwenyewe, Na wanapoyaanza maisha ile NATURE YA KI MAUMBILE inachukuwa nafasi yake na mara moja kila jinsia inahitaji haki yake, Mwanamke kupewa, Mwanaume kumiliki, ndipo MIGOGORO HUZALIWA
Tubakie kwenye mahusiano na ndoa zetu huku tukisimama kama tunavyowajibika
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 

Comments
Post a Comment