Posts

Showing posts from October, 2021

HII POST NI KWA AJILI KWA WANAWAKE TU

Image
Usijaribu kurudiana na mwanaume uliye achana naye na mkaonyeshana usaliti kila mmoja waziwazi haijarishi kabla mlitoka naye wapi ... Mara nyingi wanaume hua wanapenda kukumbusha ya nyuma ilikukufanya ujione ulipo umekosea njia sasa elewa hivi... Utotoni ndio wengi huyaacha maisha yao na future zako sasa unapokua mkubwa unazidi kua mwelewa na mwenye uwezo wa kuchanganua mambo .... Sasa mwanaume anapokukumbusha nyuma anakukumbusha ulipokosea njia na kumfanya ulipokua na akiri zako ujutie hali hiyo na kutaka ufanye mabadiliko ya future yako njemaa..best mtu mzima hakosei sasa wewe kumbusha oooh sijui nimetokanawewe 95mpaka leo unaniona sifai ..mwambie kwanza hakuna mwaka unaujutia kama huo wakujuana na wewe maana ningejua saivi ngekua mbali sana maana nisingekuruhusu ukauchezea mwili wangu na kuniharibia historia kama hivi sasa hivi ... Sitaki kusikia neno au jambo lolote yote yaliyopitaga huko mimi na wewe ni mapito tu na nayajutia maana yamepunguzaga siku zangu za furaha na kuheshimika ...

MWANAUME MJINGA NI YUPI

Image
Anayebadilika baada ya maisha yake kubadilika kutoka chini kuwa ya hali ya kati au ya juu,kwa maana walianza maisha ya tabu ya dhiki. Ni mwanaume anayejali watu wengine akadhalau watu wake watoto wake mke wake,familia yake kwa ujumla. Yupo ladhi kujali familia nyingine kwa kila kitu mke na watoto asiijali kwa hali na mali. Kisingizio kisiwe na mantiki na walikotoka kabla ajapata kipato alichonacho alijuwa mtu wa kuijali familia yake hata kwa kidogo chake. Ni mtu asiyeona mchango wa mwanamke wake pale tu alipopata,anasahau walipotoka na anasahau alimvumilia na aliombewa sana kila alipotoka kwenda kutafuta. Ni mtu anayempe au kuipa nafasi kubwa familia isiyo yake,mwanamke asiye wake,yule anayejifanya kumjali kumpenda kwa sababu tu ana kitu. Mwanamke aliyempa faraja,aliyemuombea afanikiwe,aliyemvumilia kwa hali yake anamdhalau na kumuona sio kitu. Familia yako ishindie dagaa na mlenda nyumba ndogo ichague menu ya chakula cha siku. Hoja ya wanaume et.. Ananipanda kichwani,leo umepata anaku...

MWANAMKEJUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO

Image
1 KITANDA Mwanamke jitahid kitanda chako kiwe vizur na cha kuvutui kipambe vizur,kwa mashuka mazur yenye nakshi,na shuka inyooke vizur,sio ktanda kinakuwa kama vle stoo ya nguo chafu. 2 MANUKATO Katka chumba chako jitahid sana,kiwe kinanukia kila Mara mumeo anapo rudi akiingia chumban akutane na harufu nzuri, .sio chumba chanuka jasho na uvundo wa manguo au liharufu lingine lolote la ajabu ajabu👌 3 USAFI Hili ni jambo la muhimu sana maana utakuta chumbani kuna vichup vya wik nzima, hazijafuliwa mataulo chin,masidiria,mumeo akikuta chumba kiko hivo ujue kuna mwengne atamchukua. 4 Usafi wa mwili Pia Usaf wa mwili mwanaume anavutiwa na utakavokuwa umejipamba na atavutiwa kimapenzi na wewe. Sio mwanamke kutwanzima na dera moja, kuoga toka ulivyooga jana usiku unasubir tena usiku 👌👌👌 weeehe shoga khoma tena ukomae. MWANAMKE USAFI WA MWILI NI MUHIMU 5 Mapokezi mazuri/Ukarimu kwa mumeo Wanaume wanapenda sana kupokelewa vizur,kwa MAHABA tele mapokezi utakayo mpa mtu jitahid yawe ya mahaba,...

Siku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana kila mwanaume ana changamoto zake mfano mzuri tu ni kwamba

Image
1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty. 2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno. 3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana. 4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa. 5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0% 6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe. 7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake. 8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player. Hivyo basi, Wewe cha kuangalia ni kwamba siyo kwa sababu hakuna aliyekamilika ndio uondelee kumngangania huyo kunguni ambaye hakutaki no wewe ukipata anayetaka kabisa kabisa kua na wewe na haoni zaidi yako na anakuhitaji kweli kweli basi hayo mapungufu yake yazoee maana huyo ndio bora kuliko anayetaka kukuchezea na kukutupa....

WANAUME HIVI MNAJUA KWAMBA ADUI MKUBWA WA MWANAMKE KWENYE MAPENZI NI HII KITU HAPA

Image
    Wanaume, ngojeeni niwaambie Ukweli.. Iko hivi Adui wa mwanamke ni upweke!!wengi wamecheat ndoa na mahusiano yao kwa sababu waliachwa wapweke!!..kuna mke wa mtu muda huu yuko busy kuchat na mchepuko sababu mumewe alimuacha mpweke!!kuna mke wa mtu muda huu anapanga kuonana na mchepukp sababu mumewe kamuacha mpweke!!hakuna zile text tamu!!hakuna yale maneno matamu, hakuna kumchatisha!!!... Kuna muda mwanamke anakuwa na kiu ya kuchat na mtu kimapenzi, romantically lakini bahati mbaya akimtext mumew anajibu kifupi fupi , tena kigumuuu!!!mwanamke anajikuta moyo wake unakuwa na kiu ya maneno mazuri, bahati mbaya anakutana na kijamaa kwenye social nwetwork kinampa muda, tention , maneno matamu, sms nzuri, kinamsifiaa, brother akitoka salama hapo nenda kapige Goti shukuru MUNGU...mara nyingi wanawake wanakuwa blinded na kujariwa..ukimuacha loose sana ikatokea mtu akaanza kumjari huku kwako analoose kabisaaa!!....hata hamu ya kujibu text zako, hamu ya sex inakufaaa kabisaaa!!!!! Heb...

USIFANYE MAKOSA HAYA KWENYE MAPENZI

Image
  usifanye makosa.....haya Usiinge kwenye mahusiano sababu ya upweke.. Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kumuonea mtu huruma.. Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kumkomoa mtu.. Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kushindana na mtu.. Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kusogeza muda.. Usiingie kwenye mahusiano sababu ya fasheni.. Usiingie kwenye mahusiano sababu ya umri unashawishi.. Acha maana Kilio chake ni Kikubwa baada ya Hapo.. Chukua moja hapo Inaweza kukuvusha mahali.... Mwanawake ni mvumilivu sana, anaweza akavumilia mpaka hatua fulani ya ujinga wa mwanaume na bado aka-pretend kama kila kitu kiko sawa. Lakini ikifikia hatua mwanamke ameamua kusema sasa inatosha na akaamua kuondoka hata bulldozer ije imvute arudi hawezi kurudi. Kuna kitu ndani ya mwanamke ambacho kinamfanya avumilie maumivu kuliko hata mwanaume. Ndio maana mwanaume atazaa nje ya ndoa lakini mwanamke atamsamehe, atamtukana na kumnyanyasa lakini bado mwanamke atakomaa nae tu.. Lakini inapofikia hatua ya juu ...

UNAJIKOMOA MWENYEWE MWANAUME HAKOMOLEWI NAMNA HII!

Image
Tatizo la wanawake ni kuwa anaweza kutembea na rafiki yako, ndugu yako au mtu mwingine ambaye anadhani kuwa anakuzidi kila kitu ili tu kukukomoa, ili kukuonyesha kuwa anaweza kupata mtu mwingine na kujaribu kukuumiza. Labda niwaambie tu kitu dada zangu, unajitumikisha tu bure, akili za wanaume hazifanyi hivyo, kama mwanaume kakuacha basi jua kakuacha, na ingawa anaweza kusikia wivu kidogo lakini wala hawezi kuumia kwa kuwa umetembea na rafiki yake. Iko hivi mwanaume akishatembea na wewe ujue kuwa kashamaliza mchezo, kwamba ingemuuma kama ungemkataa yeye halafu ukaenda kumkubali jamaa mwingine ndezindezi hivi, hiyo kweli inauma. Lakini mtu nishatembea na wewe, nimekuchoka na nimekuacha eti unaenda kutembea na Kaka yangu ili kuniumiza, unajidanganya na kama kwenye akili zenu dada zangu mnajiambia kuwa nimemuumiza au nimemkomoa basi unajidanganya. Tena kama ni rafiki yake mara nyingi wanaume tunaulizana kabisa. Kama ni ule urafiki wa karibu utasikia *“Kile kichwa chako vipi ushakiacha m...

Tofauti Zilizopo kati ya *MSICHANA*

Image
na *MWANAMKE* kwa sasa 1.Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa, ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda. 2.Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao, ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao. 3.Wasichana huvunja mahusiano kwa sababu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu. 4.Wasichana hufikiria kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikiria kuhusu yajayo. 5.Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata, ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi). 6.Wasichana wanahitaji pesa ili kununua mawigi na kubadili Toleo La SIMU, ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo. 7.Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote, ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wote sio sawa. 8.Msichana akionywa ana...

MUME, JICHUNGUZE PINDI MKEO ANAPOANZA TABIA HII

Image
Wiki hii nipo na wewe tu mwanamume kwa sababu kwa asilimia kubwa sisi wanaume ndio tunao sababisha migogoro na kutokuwepo kwa utulivu kwenye ndoa zetu, ni sisi wanaume ndio chanzo kwa asilimia kubwa sana. Nasema ni sisi wanaume ndio tunaoongoza kuzivuruga ndoa kwa kuwa Mungu alitupa mambo matatu ambayo hakuwapa wake zetu: * 1.Utawala* * 2.Uongozi* * 3.Utukufu.* Hivyo kwa vyeo hivyo vitatu ambavyo tumepewa na Mungu tulipaswa sisi ndio tuwe mfano wa kuigwa na wake zetu, lakini leo sisi ndio tumekuwa wazinzi wakubwa, walawiti, wapiga wanawake, wenye maneno machafu, tusiojua kuongoza wala kutawala, sisi ndio sababu ya wanawake kuchukia wanaume, sisi ndio sababu ya wanawake kujaa masokoni, sisi ndio sababu ya kuharibika kwa mambo mengi kwenye familia zetu. Kiukweli Mungu atusamehe na atuongoze. Yapo mambo mengi ya kujichunguza kila wakati kutokana na namna unavyoishi hapo nyumbani kama baba wa nyumba, ila ukianza kuona mambo haya matatu kwa mkeo, basi hapo jitafakari kwa haraka zaidi kwa ku...