Posts

Showing posts from May, 2023

FAIDA ZA SHAHAWA KWA MWANAMKE, SOMA HIYO

Image
1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa na virutubisho vingi vya protini. (2) Humsaidia mwanamke kutengeneza ngozi yake kwa virutubisho vya shahawa na sio kupaka usoni. (3) Humuongezea mwanamke urembo zaidi hasa wa macho. Macho yanakuwa meupe na mazuri zaidi. (4) Husaidia mwanamke kuwa na sauti nzuri zaidi kwa kuwa shahawa hutengeneza ala nzuriiii za sauti katika mfumo wa sauti. (5) Husaidia mwanamke kuwa na akili nyingi zaidi katika mfumo wa fahamu. Shahawa hukimbilia katika muundi wa mgongo na kumfanya mwanamke kuwa na mgongo na mifupa imara na milaini. (6) Humfanya mwanamke kutokuwa na tatizo la kupoteza fahamu na maradhi ya kuchekacheka.. (7) Husaidia kizazi cha mwanamke kisiwe na maumivu ya mara kwa mara, hasa kinapoingia baridi. [8] Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12, hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya oestrogen ambayo hufanya nywe...

MAMBO KUMI AMBAYO KILA MWANAMKE ANAPENDA KUFANYIWA NA MPENZI/MUME WAKE BILA KUULIZWA!

Image
*DARASA LA MAHUSIANO NA MAFUNZO YA NDOA NA STORY NA DOCTOR LOVE * Raha ya mapenzi ni pale unapokua na mwenza ambaye anakufahamu kuliko hata unavyojifahamu, utamu wake upo pale ambapo mwenza wako anajua ni kitu gani akikufanyia kitakupa furaha na kitu gani hapaswi kukufanyia kabisa kwani kitakuumiza au kukuharibia mood. Unapokua na mtu wa namna hii basi ni vigumu sana kuyakinahi mapenzi! Wanaume wengi hawafahamu mambo ambayo Wanawake hupenda, hii ni kwasababu akili za wanaume mara nyingi hazipo katika vitu vidogo vidogo, hivi ni vitu ambavyo kwa wanawake ni vikubwa na kama unataka mwanamke akugande basi ni lazima kumfanyia vitu hivi. Si kufanya tu, hapana kufanya bila kuambiwa, bila kuwa na ulazima wa mwanamke kusema napenda kitu flani! (1) Kumtoa Out; Unaweza kuwa ndiyo umekutana naye au umekaa naye kwenye mahusiano muda mrefu, lakini hata ni mke wako. Jua kuwa anapenda umtoe out tena bila ya yeye kukuambia au kukuomba. Inaboa na haina raha kama akikuomba, kama mwanaume nilazima uwe na...

HASARA APATAYO MWANAUME KWENYE MAHUSIANO YAKE NI PALE MOYO WA MWANAMKE WAKE UNAPOISHI NA MWANAUME MWINGINE πŸ˜‚πŸ˜‚

Image
  Ni ngumu sana kwa Mwanaume kuweza kumuondoa Mwanaume mwenzio kwenye MOYO WA MWANAMKE japo wengi tunaamini katika matendo yalotawaliwa na ULAGHAI lakini jibu ni dogo sana; • MWANAUME ALIYEMILIKI MOYO WA MWANAMKE KAMWE HATAONDOLEWA NA MWANAUME ILA NI MWANAMKE MWENYEWE KUAMUA KUMUONDOA  πŸ’― Mwanamke kwa uhalisia ni MBINAFSI ndo maana Mwanamke anaweza kuachana na Mwanaume am pendaye kisa tu Mwanaume huyo hajatimiza haja za Mwanamke huyo ila ndani ya moyo wake ATAISHI NA MWANAUME HUYOOOO πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wanaume wengi tunaishi na Wanawake za Wanaume wengine, Maana Mwanamke anaweza kuishi na siri mpaka kufa kwake, Ndo maana nikasema ili Mwanamke akupende kwa kumaanisha ni HIYARI YAKE πŸ’― Wanawake wengi mioyoni mwao wanaishi na wanaume wasoishi nao ki mwili kwani MWANAMKE HUWA HAACHI KUMPENDA ALOMUUMIZA kwani ili MOYO wa Mwanamke uumie ni dhahiri UPENDO WA DHATI UPO KWA MTU HUYO. Mwanaume fahamu jambo hili; • UKIONA MWANAMKE ANAONGELEA MAUMIVU YA MAPENZI USISUMBUKE NAE MWACHE AMALIZANE NA MWANA...

πŸ‘„MBINU 3⃣0⃣ ZA KUTEKA MAWAZO YA MWANAUMEπŸ‘„πŸ‘„NA KUWA MKE BORA KWA MMEOπŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„

Image
  πŸ’• ❣ πŸ’ πŸ’“ πŸ’— ❤ πŸ’• ❣ πŸ’ πŸ’“ πŸ’— ❤ πŸ’• ❣ πŸ’ πŸ’“ πŸ’— ❤ 1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima kama kuna jambo liko kinyume ongea nae taratibu mmeo atakuelewa,mke mwema uwa hapayukipayuki ovyo 2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Wewe ni mlinzi wa mumeo, naye ni mlinzi wako. 3). Usitumie mhemko yako hasi kuwasiliana na mumeo, hujui namna mumeo atakavyoitafsiri. Wanawake wenye hulka ya kujihami huwatengenezi nyumba yenye furaha. 4). Usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui maisha yao halisi yalivyo. Ukiibomoa hadhi yake, upendo wake kwako utashuka. 5). Usiwatendee vibaya marafiki wa mumeo kwa sababu huwapendi, mtu anayetakiwa kuwa wa kwanza kujitenga nao ni mumeo. πŸ’• ❣ πŸ’ πŸ’“ πŸ’— ❤ 6). Usisahau kuwa mumeo alikuoa, yeye si mfanyakazi wako au mtu mwingine tofauti. Tekeleza majukumu yako kama mke na mama wa familia 7). Usimpe mtu mwingine fursa ya kumhudumia mumeo, watu wanawaweza kufanya mambo mengine, lakini...

MWANAMKE KATAA KUWA MPENZI KUBALI KUWA MCHUMBA

Image
*MCHUMBA* Ni mtu yule aliyeaminiwa na mwanamke au mwanaume kuwa huyu anafaa kuwa mke au mume siku za usoni na akakubalika kwa wazazi pande zote mbili kwa utambulisho rasmi kwa ndugu jamaa marafiki kanisa na jamii kwa ujumla *MPENZI* ni mtu aliyependa mtu au kitu kwa tamaa fulan aidha kuwa nacho milele ama baada ya muda mfupi kukiacha na kupenda kingne *UCHUMBA* Ni utambulisho wa matokeo mazuri ya mahusiano ya mpenzi na mpenzi ni hatua njema ya ndoa ni picha ya upendo wa kweli *ZIFUATAZO NI HASARA ZA KUWA MPENZI MUDA MREFU* *Hasara No1. KUOLEWA NI NDOTO* Dada chunga sana kuwa mpenzi kwako kuolewa itakuwa ni ndoto maana ukiwa mpenz kwa Muda mrefu kuna mambo ambayo huwa yanapunguza morali ya mwanaume kukuhitaji tena na kukuona sasa kama ni mtu wa kawaida kama wengne na kufanya kupunguza upendo wa kweli na kukuona umeshuka bei sio special tena ni mtumba usio na thamani *Hasara No2: KUWA CHOMBO CHA STAREHE* kwa kizazi hiki nmeona hata waliokoka nao wanashiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa le...