Posts

Showing posts from September, 2023

MWANAUME AKISALITI MAHUSIANO AMA NDOA YAKE HAIMAANISHI HAMPENDI MWANAMKE

Image
MWANAUME AKISALITI MAHUSIANO AMA NDOA YAKE HAIMAANISHI HAMPENDI MWANAMKE WAKE ILA MWANAMKE AKISALITI YUPO KWENYE MAJARIBIO YA KUMUACHA MWANAUME WAKE๐Ÿ’ฏ Kwa asilimia kubwa WANAWAKE wanaongozwa na MOYO katika kuyalinda mahusiano na ndoa zao, tofauti na WANAUME wao huongozwa na mihemko๐Ÿ“ Uonapo Mwanamke ameamua kusaliti Mahusiano ama ndoa yake ujue yupo kwenye maandalio ya kuufanya moyo wake kuondoka kwa mtu wake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hilo haikwepeki kwamba:- ๐Ÿ‘‰ SIKU ZA MAHUSIANO AMA NDOA YENU ZINAHESABIKA. Migogoro mingi nje Ya usaliti wa mapenzi inaweza kuelezeka na pengine kuisha ila issue inapokuja kutamkwa USALITI ni nadra Sana kumalizika, Mara nyingi mwisho wake huwa ni mambo mawili:- ๐Ÿ‘‰ USALITI. ๐Ÿ‘‰ KUACHANA. Japo wengi huitazama jamii pamoja na vitu walivyochuma pamoja ndipo hubakia njia panda, na kinacholeta faraja katika hali hiyo ni USALITI. Kama unampenda mpe heshima yake na uitunze ahadi ya UPENDO WA DHATI ๐Ÿ’˜ JUU YAKE๐Ÿ“ Kinyume chake ni :- ๐Ÿ‘‰ ANGUKO LENU WENYEWE. #Elista_kasema_ila_s...