DALILI 7 ZA MWANAUME ALIEMCHOKA MPENZI WAKE.
Wanawake ni itapendeza kama utaizingatia hii,ila kama haitakuwa na maana yote pia ni sawa pia. Kwa kawaida jambo lolote lina kuwa na ishara Fulani kabla ya kutokea tukio husika,pia hata hivo hivo katika mapenzi,kuna dalili zake pia,nimekuandalia dalili chache za mwanaume ambaye ameanza kumchoka mpenzi wake. Zama nami....... Dalili ya 1 Mwanaume anaanza kuonyesha hasira na kuhamaki kwa kila unachokifanya hata kama ni kitu kidogo. Hii ni kwasababu penzi limempungua au kumuisha na hivyo anakosa uvumilivu kwako. Anaweza kukupayukia hata ukiwa katikati ya watu, hatojali unavyojisikia kwa yeye kufanya hivyo. Utashangaa na kujiuliza mbona mwanzoni aliweza kunivumilia? Jibu ni kwamba penzi limepoa au kuisha Dalili ya 2 Kwa kawaida mwanaume anavyompenda mwanamke huwa na kiu ya kumfurahisha, hufanya vitu kuhakikisha mpenzi wake anatabasamu na anajisikia murua. Kila siku kiu ya mwanaume ni kuona mwanamke anatamani kuendelea kuwa ndani ya penzi hilo. Mapenzi yakiisha vitu hivi vyote vinapeperukia ...