DHAMANA KUBWA YA UPENDO 💞 WA MWANAMKE NI KUMMILIKI MWANAUME.





Usidanganyike na UPENDO 💞 WA MWANAMKE ikiwa haupo kwenye HIMAYA yake🤔

Kwanza ifahamike kwamba MWANAMKE NI MSIRI WA UPENDO 💘 

Ikiwa Mwanamke anakuonyesha UPENDO kwa namna unavyoweza kuuhisi wakati huo haupo kwenye ulinzi wake niamini neno hili:-

▪ AMEKUFANYA RAFIKI.

Mwanamke ni MJUZI WA KUFURAHIA KAMPANI na hilo limewapofusha wanaume wengi wakadhani WANAPENDWA kumbe wala hawajafikia VIGEZO vya kupewa PENDO LA KWELI 💝 

Ili Mwanamke ampende Mwanaume ni mpaka AMPE UHURU WA KUMMILIKI maana yake awe na hakika kwamba UPENDO 💘 WAKE AMEUWEKA MAHALA SALAMA akiwa na maana kwamba yupo peke yake 😂😂

Kinyume cha hapo NAO NI WAWINDAJI 🏹 TU muda wowote anaweza kukulengaaaaaaa 🤣


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA