WANAWAKE TU: JE WEWE NI MKAVU AU PAPUCHI YAKO HUWA INAKUWA KAVU UKIWA UNANYANDULIWA BASI TIBA HII HAPA

 




💗💗💗💗💗💗💗💗
Kwa wale wenye ukavu sana wakati wa kutumikia ndoa basi hii inawahusu👌
💕💕💕💕💕💕💕
Chukua uwatu wa unga robo kilo kharafu chukua na maji lita moja na nusu
✍🏻kisha utasonga uji kwa huo unga wote na hayo maji yote upo mwari wewe👌
✍🏻hakikisha uji wako usiweke mabuje wala usiwe mzito kama wa ugari uwe mwepesi!!!!!!!💗
Upo mwari matumizi sasa 👇👇👇👇👇👇
Utatumia kipimo cha unazo wa kahawa utakuwa unatumia mala 2 asubuhi na jioni kikombe kimoja mpaka dawa iishe
In shaa Allah kwa uwezo wa Allah huo ukavu utaisha na utalifurahia tendo LA ndoa mwari 👌wangu habali za kulalamika maumivu wakati wa mechi kwisha khabar yake 👌👌
Waume wakumbushe dawa wake zenu
Mwisho

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA