WEWE MWANADADA KAMA UNATAKA KUOLEWA HARAKA SANA FANYA HAYA NA UTAPATA BWANA WA KUKUOA Faster

 


Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule
Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:
Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA