JIFUNZE KUJALI HAJA ZA MOYO ZA MPENZI WAKO

 



Habari yako msomaji wangu, kuna mambo ambayo yamekuwa ya kawaida katika mahusiano hasa katika ndoa,,unatakiwa kujua kuwa kuna wakati mpenzi wako anahitaji faraja na amani toka kwako,,NA wewe ndo tegemeo lake,,,,hakuna kitu kibaya kama kupuuzia uhitaji wa mpenzi wako,,,,,jifunze kumpa muda wako na kuwa msaada kwenye uhitaji wake,,,,,kuna wakati anahitaji uwepo wako,,maombi yako,,pesa yako au ushauri wako,,usimwache awe mpweke wala usimtenge,,tambua tabasamu lake linategemea na kujali kwako na upendo wako,,huyo ni wako na ni wajibu wako kuwa karibu nae.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA