MWANAMKE UNAPENDEZA ZAIDI MACHONI MWA MWANAUME KULIKO MOYONI MWAKE


🤔
Walau nanyi mmekuwa waongo hata kuibua sauti za wanaume wakiimba ubaya wenu😂😂
Japo kwa majaaliwa yenu HAKUNA MWANAUME ATAKWEPA KUMHITAJI MWANAMKE kwani namna hitaji la Mwanaume lilivyo muhimu nawe unabakia kuwa MUHIMU japo wengi wenu hamjui kuendana na hitaji sahihi la Mwanaume 🗣️
Mwanaume akisema ANAKUPENDA fikiria zaidi HITAJI LAKE LA MAPENZI kuliko maana ya UHUSIANO WENU... Wewe ni mtu muhimu sana pindi Mwanaume anapokuwa amewaka tamaa juu yako, popote ukitaka aende atakwenda ama lolote utakalo atatimiza ila tu KABLA HUJAVUA NGUO ZA NDANI 👙NA KUMWAMBIA NJOO 😋
Kama Mahusiano yangeanzia Kwenye UWAZI kuhusu NGONO peke yake wallah vita hizi zinatesa wengi kwenye MAPENZI zisingekuwepo ila kungekuwa na kelele za madhaifu ya kitandani na watu wangemalizana kimya kimya baada ya mtu kushindwa kuleta ukombozi Kwenye MAHABA😂
May be a cartoon of one or more people and food

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA