So wanaume kuna ile tabia mbaya sana ile, binti wa watu kakuzoea anakupa heshima as friends we unaambia washkaji zako umepiga


🚮🚮🚮
Ni tabia ya kizwazwa sana tuacheni na tujiheshimu, hakuna thamani yeyote utapata kwa kumchafua mwingine
NB: Shilingi si ina pande mbili Wanawake Pia Acheni Kusingizia Eti yule mkaka Ananitaka Wakati Hajawahi Ata Kukutamkia Kuwa Anakutaka Au Kukupenda😁😁😁 Halafu Kwanza Kujisifu sifu Mambo Ayo Ni Dalili Ujinga Grade One!😂😂 #MkakaFulani
May be an image of 2 people and people standing

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA