MWANAMKE AKIANZA KUKUONGOPEA UJUE HANA UPENDO WA DHATI KWAKO




Nature ya MWANAMKE ni kusema ukweli ili kuthibitisha analoliamini, ila ukiona Mwanamke anakuwa na kauli mbili mbili ujue kwamba MOYONI MWAKE ANAO UNAFIKI ama anaficha kitu au uhalisia wake, au anajaribu kutaka KUONA KAMA UNA NAFASI NDANI YAKE

Kama ukiona Mwanamke ni mkweli kwako tafuta uwazi wake ili uwe na hakika ya UPENDO WAKE WA DHATI KWAKO

Mwanamke anaweza kukudanganya kwa sababu wewe mwenyewe unaamini UONGO
Huwezi kufurahia MAHUSIANO/NDOA NA MWANAMKE MUONGO maana atakupa kazi ya kumtafakari mienendo yake wakati mwenzio anajua AME-WIN na mara zote ili kumjua UHALISIA wake ni kumbana, Mwanamke MUONGO ukijaribu kumbana lazima mtaingia MGOGORO..Hiyo inaitwa;-
UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA 

Ukibahatika kumpata Mwanamke mkweli UTAJIVUNIA na utakuwa mahala salama kiasi kwamba wewe mwenyewe utajua na kuamini katika UWEPO WA MWANAMKE HUYO.

#MWANAMKE_WA_KUSUDI

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA