๐ŸŒนMAMBO AMBAYO YATAMFANYA MUMEO/MPENZI WAKO AKUCHOKE ๐ŸŒน


KARIBU KATIKA SOMO LETU. ✍️✍️


*----•<°○●๐Ÿƒ๐Ÿ‡๐Ÿƒ●○°>•----*

๐Ÿƒ๐Ÿ‡Uzuri wa mwanamke unapatikana kwenye ulimi wake.Tuache tabia ya jeuri na maneno machafu,kiburi na dharau hakika tabia hizi zinamchukiza kila mwenye akili.

*๐Ÿƒ๐Ÿ‡KAZI KWANZA*

Baadhi yetu tunathamini na kujali kazi zetu na hatuna muda na mahusiano yetu.

*๐Ÿƒ๐Ÿ‡WATOTO KWANZA MUME BAADAE* (KWA WANANDOA)

Kuna baadhi yetu tukishakupata watoto mapenzi yote yanaelekea kwa watoto na tunamsahau baba watoto.

*๐Ÿƒ๐Ÿ‡KUTOKUA NA SHUKRANI*

Hii ni tabia sana itayomchokesha mumeo na aondoshe mapenzi kwako, kua na shukrani kwa yale anakufanyia ndipo atakapopata moyo wa kukufanyia makubwa zaidi.

*๐Ÿƒ๐Ÿ‡KUTOKUA MUELEWA*

Kuna baadhi yetu tunakua ving'ang'anizi na tukitaka kufanya letu hata tukakatazwa hatuskii wala hatujali kua tumeolewa tuwe wenye kutii waume zetu.

*๐Ÿƒ๐Ÿ‡USIRI*

Tuko baadhi yetu tunakua tunawaficha waume zetu kila kitu hatuwafanyi wao kua ndio washauri wetu.

*๐Ÿƒ๐Ÿ‡KUKOSOA KILA JAMBO*

Tuache tabia ya kukosoa na kugombana Kwa kila jambo ,hata akikosea mueleweshe Kwa njia za kistaarabu.

*๐Ÿƒ๐Ÿ‡KUTAKA WEWE UWE BOSS*

Mungu aliyetukuka amewapa cheo wawe viongozi wetu na wasimamizi kwetu hatuna budi kulikubali hilo,acha kujifanya wewe ndio Kichwa cha nyumba lazima umheshimu na ajue kua anaheshimiwa .
 

#KUMBUKA๐Ÿƒ๐Ÿ‡ Hekima yako inaweza kubadilisha tabia  mbaya MPENZI wako kwa asilimia kubwa.Pia ujeuri sio dili jamani tubadilike katika hili.๐Ÿ™๐Ÿ™

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA