🌺SIFA ZA BINTI ANAETAKIWA KUOLEWA🌺.

Madame Dorcus nimekuandalia somo.🙄🙄


🌺👉Mwenye upendo wa dhati na sio tamaa

🌺👉Msafi na kwenye kutunza mazingira ya nyumbani

🌺👉Mkarimu anayependa kuwasiliana ana ushirikiano mzuri na wenzake wazazi na jamii inayomzunguka

🌺👉Usiwafukuzie mwanaume acha waone thaman yako yako hapo itakuwa umejijengea msingi lakini ukijichekesha kwao si jambo zuri.

🌺👉Wanaume wanathamini kile walichokihangaikia kwa tabu,lakini vya kupata kiurahisi wap huvishusha thamani jitunze,jiamini,jikubali na jipende wewe kama binti.

👉Mcha Mungu(Maana ndoa inachangamoto nyingi inahitaji Dua na maombi ya kutosha kuombea ndoa na familia)🤲👏

🌺👉Mwenye maonyo na mfanikishaji wa mipango sio umepata mchumba kila sàa unapiga simu 
🔹naomba ya salon
🔹nataka kwenda out,
🔹mama yangu anaumwa
🔹nataka kwenda kwa shangazi wiki ijayo
Binti huyu si mfanikishaji wa mipango
Anayejua kupika,anayependa kujifunza hata kama hajui kupika.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA