Harufu nzuri huongeza mvuto katika mapenzi ni muhimu kuzingatia usafi.



katika mahusiano suala la usafi lina nafasi kubwa sana ni vizuri kuzingatia usafi wa mwili wako wakati wote hakikisha unakabiliana na harufu za jasho la mwili nk, ni bora kuwaona wataalamu kwa msaada zaidi kama tatizo ni kubwa,kitu kingine ni kwamba kuna baadhi ya watu huwaficha wenza wao kuhusu hili la harufu mbaya, kwa mfano unakuta mwanamke anaharufu mbaya badala ya mwenza wake kutafuta njia ya kumsaidia kwa kumuelimisha basi anakaa kimya au inakuwa ndiyo sababu ya kuachana.
Jambo la msingi ni kuwa muwazi kwani inawezekana mtu anayetoa harufu mbaya yeye akawa haisikii kama ni mbaya lakini watu wa pembeni yake ndiyo wanasikia harufu hiyo mbaya ,,na inapotokea mwenzio anakuelimisha kuhusu suala la usafi ni vizuri kumsikiliza na kutafuta njia mbadala kwaajili ya kuzuia harufu mbaya ya mwililini kuna vipodozi vya aina mbalimbali ambavyo vinaweza kumsaidia mtu ambaye yupo katika hali hiyo ila jambo la msingi ni kuzingatia usafi wa mwili likiwemo na suala la kuoga na kujisafisha vizuri kabisa na si kukurupuka

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA