💥FACEBOOK YAINGIA HASARA

 


✍️Kwa masaa 6 ambayo mitandao ya Whatsapp,Instagram na Facebook inayomilikiwa na Mark Zuckerberg iliopotea hewani duniani kote, kampuni ya Facebook imeripotiwa kupata hasara ya $ 7 bilioni (Zaidi ya Tsh.Trillion 15)
Mark amesema tatizo la kiufundi wakati wana update lilipelekea kupotea kwa D.N.S pale walipokuwa wakiipata baada ya kuifanyia maboresho.
#Wewe umepata hasara kiasi gani kwa muda huo?
May be a meme of 2 people, people standing and text that says "The Goal is to be Rich LOWELL Not to look Rich"

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA