Hali yako ya mahusiano inaweza kuwa sababu ya mtu mwingine kujipa matumaini atakuwa wako.
Hauna mahusiano, una mahusiano yanayokutesa basi yawezekana kuna mtu umemfanya asiingie kwenye mahusiano anakuhitaji wewe, anaamini ipo siku utakuwa wake.
Kuna mtu anakusubiri uachane na hayo mahusiano mabaya muoane naye na anakupenda ila hataki kuwa chanzo cha kuvunja mahusiano hayo ila anatamani ujinasue ukupende mpaka uduwae.
Maamuzi yako yawezekana yamebeba maamuzi ya mwingine. Huwa tunavizina wakati mwingine. Anasubiri uamue kwasababu hataki kukuambia achana naye ila anatamani sana siku asikie uko single 😀
Wapo walifanikisha baada ya kuvizia anguko la mtu.
Kuna watu wanasubiri kimponyoke mtu au akitupe ili akiokote
..ndio Maana nakataa kudhani una mkosi kisa unateswa na mtu leo ...hapa jipe nafasi naye tu kidogo upendwe mpaka upagawe...
@maisha_halisitz
Ushauri ni private mimi na wewe inbox na group la wachumba nilakudumu hakuna kutoka Kwenye group mpaka utakapo mpata mwenza wako ndio unatoka nichek WhatsApp no 0656832100 au ni DM unahitaji MCHUMBA au nahitaji USHAURI
Comments
Post a Comment