KINACHO WAPONZA WANA MAHUSIANO NA NDOA WALIO WENGI NI KUJAWA HASIRA ZA MAPENZI NA KUFIKIRI NI RAHISI KUMPATA WA KUCHUKUWA NAFASI YA HUYO MSUMBUFU 🙇‍♂️





Sio kila mtu anaweza kusimama katika eneo ambalo wewe hukupa FURAHA NA AMANI⛔️
Usijidanganye kwa mahusiano ya mpito, Kuanzisha vitu kwamba vichukuwe nafasi ya kukwepa kuumia juu ya MAHUSIANO AMA NDOA.

Mapokeo ya MOYO ni tofauti na mapokeo ya AKILI💯
Unaweza kujaribu kutafuta mbadala wa kuondoa mawazo ila huwezi kupata mtu wa kuilinda nafasi ya FURAHA NA AMANI YAKO📍
Kila mtu hujaribu kubahatisha kumpata mtu anayeendana nae na wengi wanawapata ila shida ni moja;-
👉🏼 KULAZIMISHA MTU AWE KAMA UTAKAVYO WEWE HUKU UKISAHAU UHURU WA MTU NI USALAMA WA MAHUSIANO AMA NDOA YAKO.
Mahusiano na ndoa nyingi zinaishia kuwaliza watu kwa sababu ndogo ndogo wala sio kubwa kubwa🙇🏻‍♂️
Huwezi kumlinganisha mwenza wako na;-
👉🏼 UJENZI.
👉🏼 MARAFIKI/STAREHE.
👉🏼 MALI NA MAGARI.
Lazima ujikute unakosa CREDIT "thamani".
Kila mtu huyafurahia mahusiano ama ndoa ambayo inampa THAMANI💪🏼
Pesa zinatafutwa, Mali na magari vyote ni vitu vya juhudi tu unapata, Lakini kumpata mtu ambaye anaweza kujitoa kwako kwa ajili ya UPENDO ♥️ niamini ni BAHATI.
Wengi husema;-
👉🏼 RAHA JIPE MWENYEWE.
Hayo yanabaki kuwa maneno na misemo ya wafa maji tuuuu😂😂
Kama kweli baada ya kuumia na kukosa tumaini kwa mwenza wa awali ingekuwa hakuna maana tena ya kuwa kwenye mahusiano ama ndoa eti kisa unapesa akina BILL GATES wangesumbuka na vidosho tena🙇🏻‍♂️
Mapenzi ni kama masika huwezi kuzuia mafuriko ya hitaji lake😂😂
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨

All react

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA