MACHO NA MASIKIO vina uponza moyo wako ktk mahusiano ya mapenzi



MACHO yame muona kuwa ana mwonekano mzur-ana pendeza na ana onekana kwao wana pesa sana--MASIKIO yana pokea taarifa nyingi kumhusu yeye

wapo marafik na ndugu zako wanao diriki kumkashifu mwenye mapenz ya dhati kisa tu hana mwonekano mzur na pesa mbele ya macho yao USIYE MPENDA ndiye anae ongoza jaza inbox yako maana kila anapo kukumbuka ana kutumia sms

wakat mwingoe hujibu ila bado ana tuma maana ndo faraja yake, unae mpenda na kumuamin kwa wik ana tuma txt 1 tena ujue ana taka penz au pesa-kwa kuwa una fuata tamaa ya MACHO na MASIKIO yako ume angukia ktk mikono ya SHARO BARO /SISTA DUU ambae hana habar na MAHABA anacho jali kupendeza na kula vizur

usipo mtafuta kwa simu wala yy hana shida-hapo ndo utakuta una anza mkumbuka uliye mkataa kwan upendo wake ulikuwa wa dhati ila huku taka upokea-

VIZUR HUPENDWA NA WENGI

-ILA UPENDO WA DHAT NI WACHACHE WANAO

mawasiliano yaki lega mapenz hufa-usilazimishe upendwe kisa ume penda-TUFUATE UPENDO SIO MALI

Usilazimishe kuwasiliana na mtu ambae hajisikii kujibu SMS zako wala kupokea simu zako. Isiwe kama we ndo mwenye shida sana juu yake yaan kila Mara umuanze wewe nae sababu haziishi

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA