MWANAMKE ANAYEOLEWA KWA JUKUMU LA NDOA NI TOFAUTI NA MWANAMKE ANAYE FUATA NGONO📍
Ndoa ni AGANO na limebeba maana ya UPENDO kwa vyovyote vile NDOA NI JAMBO LA KUJITOA
Wanawake wengi kwa sasa wanaingia mahusiano na ndoa kwa kufuata NGONO na pindi ile hali ya hitaji hilo ikikosekana huzaliwa USALITI
Tamaa ya ngono inaweza kuiondoa maana halisi ya UPENDO kulingana na mihemko inayompata mtu husika, Ndoa nyingi zimeghubikwa na USALITI wa kukosa kile mtu ndicho kilimleta katika ndoa hiyo, Na kwa asilimia kubwa WANAWAKE ndo wamekuwa wasaliti wakubwa kutokana na tamaa zao za kufikiri ;-
Wanaume wengi kwa sasa hawapo REAL "uhalisia" Kwenye Mapenzi kwani wanatumia njia mbadala kunogesha NGONO.
Kibaya zaidi ni;-
Pindi aonapo hakuna jipya kwenye ndoa aliyopo mara nyingi huwa wanageuka na kumtazama yule wa awali
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 

Comments
Post a Comment