PAPARA YA MWANAMKE KWENYE KUTAFUTA PUMZIKO LA MAHUSIANO AMA NDOA HIYO NDIYO IMEMPA KUTOJUA MAHITAJI YAKE HALISI
Wanawake wengi wanaingia mahusiano na watu wazima kufuata unafuu wa maisha, wakati huo MIHEMKO YA MAPENZI WAKIWA HAWANA
Wanawake wengi kwa sasa wanaumizwa na wanaume wanaowatumainia kwa haja zao za mapenzi, na wakiisha umizwa wanakuwa BARIDI KI HISIA na kuanza kutafuta mwanaume mtu mzima kwa MASLAHI japo wanajifanya hawataki VIJANA HAWANA UPENDO kumbe tatizo sio upendo ni wazi kwamba MAPENZI YA SASA YANALINDWA NA PESA
Vijana wa leo nguvu zao za kiume zinapatikana kwa PESA

Na wanawake wakikutana na vijana wanaojifanyaga kusimamia kucha wanapagawa kumbe Kuna "ZIADA INATUMIKA"
Ngono "SEX" ni starehe wala sio jambo la kufikirika, ndo Maana kila anaayejaribu kufikiri NGONO hana hisia
Mwanaume usikubari kuingia MTEGO wa Mwanamke anaayejaribisha MAPENZI utakwama.
Comments
Post a Comment