WANAWAKE WENGI WANAINGIA MAHUSIANO/NDOA KWA UPWEKE NA MIHEMKO PAMOJA NA TAMAA





๐Ÿ’ฏ
Kwakuwa mapenzi yamekuwa na UONGO ZAIDI ILI YALETE HAMASA hivyo wanawake ndiyo wanaongoza kuyafanya kuwa sehemu ya MAJARIBIO๐Ÿ™‡‍♂️
Kwa sasa wanawake wanaongoza kuharibu UAMINIFU WA MAHUSIANO/NDOA kwani hawapo "REAL" wakweli,
Hisia za wanawake wengi zipo kwenye usaliti, wanawake wengi leo wanayajenga mahusiano na ndoa zao kwa maana mbili:-
๐Ÿ‘‰ HAJA YA MWILI.
๐Ÿ‘‰ MAHITAJI KI MAISHA.
Wanataka mwanaume ambaye hana majukumu kwa matumizi ya ngono, halafu wanakuwa na mwanaume atakayetunza hilo penzi la NGONO Mbaya zaidi usalรญti huo ukiwa unaendelea mwanamke anakuwa hajali Maumivu ya upande wa anayejitoa kwake kwa mahitaji ya ki maisha, Wanawake wengi hawajui kuwa starehe ya Mapenzi ni ya mpito ila maisha ni endelevu, Ndo maana wanawake wengi wanaangukia Kwenye kutibu miili yao kupitia ngono na wanaharibu uhusiano mzuri na mtu ambaye amejitoa kwa UPENDO WA DHATI.
Mwanaume ukijua kuwa Mwanamke wako yupo kwako kwa maslahi yake binafsi usisumbuke kutaka kumbadilisha, Wanawake hawabadiliki kwa Maneno mpaka alinganishe mahitaji yake na kujua hitaji muhimu aweze kusimamia hilo, Vinginevyo wanaume tu wahanga wa MAPENZI kwani Wanawake wa sasa ni waongo kuliko kawaida.
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria
All

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA