ACHA PENZI LIONGEE KAMA WAMPENDA BASI UTAMBEMBELEZA
Ni kifo pekee ndo kitanichagulia kati ya kukuacha wewe au niende kwa mwengine.
🌹Siyaoni maisha yangu nje ya penzi lako, una funguo za pumzi zangu wewe ❤️
🥀Mapenzi maji ya kunywa, tuyanywe kwa staha mpenzi, maana yakitunywa yenyewe hatuwezi kutoboa.
🌺Umefanikiwa kuitenganisha shilingi na mapenzi ya kweli, ni wachache tu ndo wanaweza. Kwa hili waje wajifunze kutoka kwako.
🍄una kiuno feni ewe malkia, hakuna anayekupata kwa kukatika ukiamua. Mengine nikae kimya, nitaharabu nikisema 😂😂😂 😂
♥️Nakupa pombe ya roho yangu, nigide unavyoweza. Si walinibomoa eeh, mkandarasi hodari umejua kunijenga na kunipamba. Nang'ara.
Nilitaka tu kukujulia khali kipenzi changu, unapendwa na kila kiungo cha mwili wangu 🥰🥰❤️❤️
Mapenzi ndo haya sasa😀😀😀imagine ndo nakwambia maneno hayo c utanenepa ghafla😀😀😀kwaheriniii🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
🍏Daktari wa Mahaba🍏

Comments
Post a Comment