KANUNI 12 ZA DHAHABU ZA KUMKAMATA MUMEO SIKU ZOTE...
1). Usijifanye kuwa mgonjwa kwa lengo la kumnyima mumeo tendo la ndoa. Lazima umpe. Mapenzi ni muhimu sana kwa wanaume..
2). Usipaze sauti yako kwa sababu yoyote dhidi ya mumeo. Ni ishara ya kukosa heshima.
4). Usitumie mitazamo na mhemko kuwasiliana na mumeo, haujui jinsi mumeo atakavyotafsiri.
5). Usimringanishe mumeo na wanaume wengine, haujui maisha yao. Kama unashambulia mapito yake, upendo wake kwako utapungua.
6). Usisahau kwamba mumeo alikuoa, sio mjakazi wako, fanya majukumu yako.
7). Usimtafutie mtu wa kumjali mumeo, watu wanaweza kufanya mengine lakini mumeo ni jukumu lako mwenyewe.
8. Usimlaumu mumeo akirudi nyumbani mikono mitupu. Badala yake mtie moyo..
9).Usishirikiane na wanawake wenye mtazamo mbaya kiakili kuhusu ndoa.
10).Usiwe mtu wa kumhukumu sana mumeo. Hakuna mwanaume anayetaka mke msumbufu.
11).Kamwe usiruhusu marafiki zako kuwa karibu sana na mumeo..
12).Usimpinge mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye busara hawafanyi hivyo.
Kwa niaba ya wanaume wenzangu naomba kuwasilisha....
Comments
Post a Comment