MADHARA YA KUTOFANYA TENDO LA NDOA MUDA MREFU



🍏Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu🍏

🍏Ukikaa Muda mrefu bila Kufanya tendo la ndoa madhara yake ni kama haya🍏

🍏Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo🍏

🍏Hupelekea kupendelea sana kuangalia picha za uchi na sex video🍏

🍏Kusahau sahau,kupendelea story za mapenzi,kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke)🍏

🍏Kupenda kurukia rukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo

yasiyokuhusu)🍏

🍏Kuumwa na kichwa🍏

🍏Kukakamaa mgongo (wanaume)🍏

🍏Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba🍏

🍏Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency)🍏

🍏Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno🍏

🍏Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala

kama ulevi n.k.🍏

🍏Kuoa kuolewa ndio muhimu zaidi katika hili🍏

🍏Daktari wa Mahaba🍏

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA