MAMBO 4 YANAYOFANYA USIOLEWA.
1JEURI NA KUJISIKI.
Unawajibu watu unavyotaka sio inavyostahiki. Muda wote una nata kiasi cha kujiona mzuri ni wewe tu wengine wote walikuja kusindikiza uumbwaji wako wewe.
Umekuwa kama wakala muda wote unataka muamala usome kwenye simu yako. Wanaume wenye akili hawaoi wakala kama wewe utafuta mke mwenye utu.
3 MAWAZO YAKO NI MATUMIZI SIO KUTAFUTA.
Mara zote huwa unazungumzia matumizi tu mbele ya mwenza wako lakini sio kutafuta kiasi ambacho hata mwenza wako kakusave KFC kwenye simu nasi jina lako.
4 HUNA MSIMAMO BINAFSI NA MAHUSIANO YAKO.
Wanaume huwadharau sana wanawake ambao hukubali kua na kila mwanaume. Tena huwapa majina mabaya kama Dimbwi la wauni, Choo cha site na mengine machafu zaidi. Usikubal kua na urafiki ulokithiri nje na mwanaume wako kua wa thamani binafsi kumbuka raha ya mahusiano ni pale unapokua malaya kwa mwanaume wako ila mtakatifu kwa wengine.
Comments
Post a Comment