MAMBO MADOGO YANAYOIADHIBU NDOA YAKO MWANAMKE





*Badili mwenendo wako na mazoea uiokoe ndoa yako......... 
🏵️Oga, paka mafuta kisha vaa vizuri🏵️
🏵️Mnatabia ya kusema waswahili hawana kazi,,wavivu sijui nini nini🏵️
🏵️Mke kamilika idara zote🏵️
🏵️Kama hutaki kukamilika na usilie na madanga ya mumeo🏵️
🏵️Unalia nini na kukamilika hutaki🏵️
🏵️Sikia mpendwa ongea yako tu inaweza kumpa mumeo hamu na wewe🏵️
🏵️Yaani chakula unacho pika ukakiandaa vizuri hakika ni andalizi tosha🏵️
🏵️Tembea yako hapo ndani mbona mahaba hizo simu na laptop na tv hata kua na hamu ya kuziangalia🏵️
🏵️Sio unatembea una buruza mamiguu na unagonga mamilango kama fundi seremala anayetengeneza madawati ya upe🏵️
🏵️Mwanamke unae jitambua huwezi tenga chakula kisha ukae mbali na chakula na mumeo huku una peruzi na jicho kwenye luninga mumeo atapata wapi hamu nawe🏵️
🏵️Acha akae na simu yake ama laptop maana ndani hapa eleweki🏵️
🏵️Akiingia bafuni matisho na nguo zako za ndani skin tight una anika bafuni serious?🏵️
🏵️Halafu heri iwe nyeusi ama nyeupe kijani kama lile pazia la hospital la kuzungushia mgonjwa... atapatia wapi hamu na wewe?🏵️
🏵️Mezani vyombo vimechanganyikana hata havieleweki,,,panga vilete mvuto wa kutumika🏵️
🏵️Duster za mezani ni kanga imelauka hatari🏵️
🏵️T-shirt ndio ya kufutia vyombo duh ni hatari hiyo🏵️
🏵️Tena mume kama bado ana rudi hapo ana utu sana na mcha mungu🏵️
🏵️Bra ina mafundo kama  kamba ya scout khaa🏵️
🏵️Muwahurumie hao wanaume wanakomalia simu,,tv na laptop wakati hiyo ni nafasi ya kukuangalia wewe mke hapo home🏵️
🏵️Yaani hamjui uwezo mlionao🏵️
🏵️Laiti mmngejua kuvitumia vilivyomo kwenye miili yenu waume wangetulia tuli🏵️
🏵️Yaani jicho tu ukijua kulitumia linampa taarifa zote,, ukimuangalia ni kama umemuambia i need it..... 🏵️
🏵️Ukimpa chakula ni kama umemwambia today we must have some moreeee🏵️
🏵️Ukimpa kahawa ama juice ama chai ni kama unamwambia last game was amaizing🏵️
🏵️Sasa mavikombe yako na maglass yako na majuice yako mabovu Loh!! 🏵️
🏵️Utasikia weka hapo nitakunywa🏵️
🏵️Halafu unasema hana shukrani eti mkali🏵️
🏵️Hivi una makalio maziwa mapaja.. mdomo na macho ukali anautolea wapi ndani kwako?🏵️
💞MSIISHI NA WAUME ZENU KWA MAZOEA💞
🍏Daktari wa Mahaba🍏

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA