MTIHANI WA MAHUSIANO..(Wanaume Tu)




🍊 Fikiria unakutana na msichana club ambaye ulisoma nae zamani shule ya msingi. Jina lake ni Mage na wote mmelewa chakali. Mage anakuomba lift kuelekea nyumbani kwake na ni usiku wa manane. Kwa vile wote mnaishi uelekeo mmoja unakubali kumpatia lift hadi anakoishi.
πŸ’• Unamwambia akae seat ya mbele na unatoka kidogo kwenda kuchukua kinywaji take away. Wakati umetoka Mage anamwona jirani yake ambaye nae alikuwa anatafuta usafiri wa kurudi nyumbani. Mage pasipo aibu anamwambia huyo jirani yake akae kwa gari seat ya nyuma ya gari.
πŸ’• Unaporudi unaendesha gari wala hujui kama kuna mtu mwingine zaidi yenu wawili na wala hata Mage hakwambii kitu kwa vile nae kalewa sana kwa hiyo chaneli hazishiki vizuri na usingizi nao umemwelemea.
πŸ’• Mara unafikisha Mage anapoishi na unamsaidia kumfikisha kwake na kisha mnaagana na unaondoka kurudi kwako.
Kichwani huna habari yoyote kwamba kuna msichana Cathy yumo ndani ya gari seat ya nyuma na yuko hoi hajitambui na wala Mage hakukwambia chochote.
πŸ’• Unafika nyumbani na kuiweka gari yako parking na kwa vile umechoka unaenda moja kwa moja ndani na kulala.
Kesho yake kunapokucha na ni Jumapili wife wako anajiandaa kwenda kanisani na huwa analitumia gari hilo kwenda nalo.
πŸ’• Mkeo anapofungua mlango wa gari majira kama ya saa 1 asubuhi ili awahi misa ya kwanza anakutana na sura ya kike, kajilaza kiti cha nyuma, kavua viatu, ana min skirt na kibaya zaidi msichana hajavaa nguo za ndani na kila kitu kiko wazi.
πŸ’• Kwa kutumia uzoefu wako wa mahusiano eleza namna ambavyo utamshawishi mkeo aamini kwamba huna uhusiano na Cathy na wala hata humtambui kabisa bali ni kasheshe tu imesababishwa na pombe. (Alama 60)
*Unaruhusiwa kutumia calculator pamoja na Four Figure*
🍏Daktari wa Mahaba🍏

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA