UNA HAMU NA TENDO LA NDOA LENYE MSISIMKO ZAIDI? 💞





💞FANYA HIVI💞

🍇Swala la mapenzi ni muhimu na kawaida kwa binadamu hasa pale muda wake unapofika.

🍇Yafuatayo ni mambo unayoweza kufanya ili kuongeza hamu,utamu na ashki kwa mwenzako ili kumridhisha na kuboresha uhusiano.

🍇Kula chakula kiasi, kushiba sana kabla ya tendo la ndoa itakusababishia uchovu, usingizi na uvivu katikati ya tendo la ndoa.

🍇Epuka vyakula na vinywaji vinavyo ongeza nguvu kwani vitachangia kukuchosha wakati wa tendo.

🍇Usibishane na mwenzio.

🍇Itasababisha kupoteza nia na hamu ya kufanya tendo na hivyo kukukosesha raha katikati ya tendo.

🍇Epuka hasira na mawazo kabla na wakati wa tendo. 

🍇Usiwe na hofu juu ya mwili wako na maumbile yako. 

🍇Itakusaidia kujiamini na kujiheshimu mbele ya mwenza wako na jaribu kuweka mawazo sana katika sehemu ya mwili wako na mwenzio unayo ikubali zaidi. 

🍇Usitegemee mengi na mazuri tu,

Kumbuka miili ya binadamu iko tofauti hivyo jiandae kukubaliana na lolote hasa unapo fanya tendo kwa mara ya kwanza au na mpenzi mpya usitegemee kuridhishwa muda wote. 

🍇Usipige nyeto kabla ya tendo la ndoa. 

🍇Itakupunguzia hamu ya tendo la ndoa au kufika kileleni mapema. 

🍇Usifanye mapenzi kimya kimya. 

🍇Ongea au toa sauti pale unapo sikia raha itasaidia kuongeza hamu na kumfurahisha mwenzio. 

🍇Mridhishe mwenzio. 

🍇Hakikisha mwenzio anafika kileleni hata kwa kuzuia mshindo na kufika haraka. 

🍇Punguza uzito na kaa mkao na mtindo unao kufanya kuwa mwepesi na usiwe mzigo kwa mwenzio. 

🍇Usianze tendo kabla mwenzio hajawa tayari kufanya. 

🍇Itasababisha maumivu na usumbufu kwake. 

💞Na mkawe na penzi madhubuti inshah-allah💞

🍏Daktari wa Mahaba🍏


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA