USICHOKIJUA KUHUSU MWANAMKE


🌹🌹
🌹Mwanamke hapendi kutumia mto kuegemesha kichwa chake chunguza uone.
💕 Mwanamke hupenda kulaza kichwa chake kwenye kifua cha mwanaume wake au alaze kichwa chake kwenye bega au kwenye mkono wa mwanaume wake.
💕 Mwanamke hujihisi amani sana akilala na mwenza wake kichwa chake kikawa kwenye mwili wa mwanaume.
💕 Kuna wakati usiku wa manane hufumbua macho na kumtazama mwanaume wake kisha hutabasamu. Wanaume wasichokijua mara nyingi mwanamke hufumbua macho mara nyingi kuliko mwanaume akiwa amelala na mwanaume.
💕 Ndio maana hata mwanaume akiutoa mkono wake au akimuondoa kifuani mwanamke hujirudisha hata ukingeuka utashangaa yuko na yeye kashajingeuza.
💕 Mwanamke akikutazama na akapata hisia huanza kukupasa kama hutoamka basi atakuita jina lako au atakusemesha ili ufumbue macho kisha atie huruma kwa hisia.
💕 Mwanamke akikuelewa unaweza hisi na pepo la mapenzi maana yeye hata usiku wa manane anaweza kutaka burudani kwasababu huwa halali kama walalavyo wanaume.
🍏Daktari wa Mahaba🍏
May be an image of 1 person and text


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

ZIJUE TABIA HIZI ZA MSICHANA ANAYEPENDA LAKINI HAWEZI KUSEMA.

UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA